Mwanamke ukiishi naye kinyumba (bila ndoa) hata kwa miaka kadhaa, kisheria hastahili kupata chochote endapo mtaachana

Mwanamke ukiishi naye kinyumba (bila ndoa) hata kwa miaka kadhaa, kisheria hastahili kupata chochote endapo mtaachana

Huu ni ushuhuda wa kweli. Kuna mwanaume amepata ushindi mahakamani dhidi ya gumegume, ambao inabidi tushirikishane hapa ili wanaume msiogope kuwafukuza wajasiriaNDOA a.k.a "makupe"au magumegume.

Kuna wanasheria uchwara huku kitaa, wanatutisha kuwa ukikaa na mwanamke kwa zaidi ya miezi 6 basi huyo ni mkeo (yaani umeoa tayari ) na ana haki zote. Nadharia hii si ya kweli, na hata kama ni ya kweli basi haifanyi kazi mahakamani.

Mahakama inatambua uwepo wa ndoa kwa kutumia nyaraka (cheti cha ndoa), siyo kwa ngonjera na hadithi.

Kuna mjuba alijitwisha gumegume miaka 6 iliyopita huku akiwa kajipanga vema kimaisha. Kumbe gumegume halikuwa na mapenzi ya dhati bali lilitaka kufyomonta (syphoning) ukwasi wa mjuba. Baada ya miaka 3 likaanza kutikisa kiberiti. Mwaka wa 6 gumegume likakata kamba (likavunja mahusiano) na likafungua kesi mahakamani kudai mgawo wa mali.

Mjuba aliliruka gumegume mita 100 na kudai kuwa hakuwa mke bali alikuwa hawara tu. Mjuba huyu ameshinda kesi hiyo kwasbb gumegume lilkosa nyaraka (cheti cha ndoa) kuthibitisha uwepo wa ndoa hiyo.

Gumegume limeaibika na kukosa hata senti kutoka kwa mjuba.

Asanteni
Safi sana hiyo.
 
Sheria zingine za ndoa ni za kipuuzi sana. Yaani uishi na mwanamke mzae watoto na mpate maaendeleo halafu mwanamke asitambulike katika mgao wa mali? Kwani ndoa ni lazima iandikishwe huko kwenye usajili? Ndoa inaanza pale ushirikiano ndani ya nyumba unapoanza, hiyo ndio ndoa. Kama mwanamke ataasi basi aondoke tu aache mali aende akaanze kutafuta upya kwingine
Chai
 
Siyo kweli, kuna jambo hujaelewa hapo..

Kilichomuokoa huyo "mjuba" ni kuwa alichuma hizo mali zake zote kabla hajaanza kuishi na huyo mdada.

Kama angechuma hizo mali wakiwa wanaishi pamoja hata bila ndoa rasmi, wangegawana kama kawaida
Wewe pia umekosea mkuu. Ukiishi na mwanamke zaidi ya miaka miwili uyo tayari ni mkeo. Kama mali zilipatika mkiwa pamoja mnagawana 50/50 kama mali alizikuta mkiachana hawezi kuondoka mtupu kabisa lazima apate mgao, hatopewa 50/50 ya mali lakini ataambulia angalao 10% au 15%. Kilichomuokoa jamaa uyo mwanamke alishindwa kuthibitisha kama wameishi kwa iyo miaka 6 kama mke na mume. Mwanamke angekua na cheti cha ndoa angepata mgao lakini kwa sababu cheti akipo atatakiwa kuthibistisha kwamba ni kweli wameishi pamoja kwa muda huo tajwa, na kuthibisha ilo mwanamke atatakiwa kuleta mashaidi mahakamani majirani, mjumbe wa mtaa n.k hapa sasa ndipo jamaa akamzidi ujanja uyo mjasiliandoa.. inaoneka aliwapanga majirani na mjumbe wa mtaani waseme hawamtambui uyo mwanamke au waeme mwanamke alikua anakuja nyumbani kwa jamaa na kuondoka tu kwaiyo mahakama ikatafsiri kwamba mwanamke alikua kimada tu kwaiyo hana haki ya kupata mgao
 
Sheria zingine za ndoa ni za kipuuzi sana. Yaani uishi na mwanamke mzae watoto na mpate maaendeleo halafu mwanamke asitambulike katika mgao wa mali? Kwani ndoa ni lazima iandikishwe huko kwenye usajili? Ndoa inaanza pale ushirikiano ndani ya nyumba unapoanza, hiyo ndio ndoa. Kama mwanamke ataasi basi aondoke tu aache mali aende akaanze kutafuta upya kwingine
Inaelekea mazingira ni tofauti. Unaongelea waliochuma pamoja, mleta Uzi anasema mwaname alishajijenga ndio huyo mwanamke akaanza kuishi naye, na hakutaja watoto.
 
People kill for love & money,ikiwa kwenye migogoro kama hiyo ukiona mwanamke anakusumbua una mdedisha tu mambo yanaisha
Usithubutu. Kama tayari kuna mgogoro kati yenu ukifanya hivyo lazima utadakwa tu ukaishi ndani milele, halafu hizo mali zote pamoja na huyo 'gumegume' utaachia wengine
 
Siyo kweli, kuna jambo hujaelewa hapo..

Kilichomuokoa huyo "mjuba" ni kuwa alichuma hizo mali zake zote kabla hajaanza kuishi na huyo mdada.

Kama angechuma hizo mali wakiwa wanaishi pamoja hata bila ndoa rasmi, wangegawana kama kawaida
Bullshit, hichi ulichoandika hakimake sense. Yaani alichuma mali maisha yake yote alafu akastop kuchuma kwa miaka 6 baada ya kukutana na huyo mnyonya damu?

Unaprove vipi hili kisheria? Au hizo mali zimegeuka embe kwamba unachuma na kuacha unavyoamua? Hizi stori za vijiweni mnatungaga kwa vigezo gani?

Kiufupi hakuna ndoa bila ya physical evidence ya karatasi ya cheti cha ndoa na mashahidi. Otherwise hata mpigane superglue na mgandane kwa miaka 3000, bado hamtotambulika kama wanandoa.

Otherwise Elon Musk angekuwa amefilisika kwa idadi ya mademu aliowagonga, kuwazalisha na kuwapiga chini. Ukilinganisha wanawake wa kimarekani ni experts kwenye sekta ya kugawana mali.
That's why jamaa haoi, ni kupiga, kuzalisha na kupiga chini. Pesa zake anabaki nazo mwenyewe. Na wenye vitobo wanabaki na vitobo vyao. Ni living concubine.

Yaani pesa nitafute mimi kwa jasho na damu alafu mpuuzi mmoja tu ambaye hachangii chochote zaidi ya kitobo atake kugawana pasu kwa pasu kisa tuliishi wote kwa muda fulani? Naahh, you better suck my big fukin dick. Hicho kitu hakitokei.
 
Back
Top Bottom