Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Unaandika upuuzi aisee. Ni wanawake wangapi wanachangia maendeleo ya mwanaume zaidi ya kuwa consumers na liability? Wanawake hawana faida yoyote kwa mwanaume economically zaidi ya kupanua miguu na kuzaa watoto.Sheria zingine za ndoa ni za kipuuzi sana. Yaani uishi na mwanamke mzae watoto na mpate maaendeleo halafu mwanamke asitambulike katika mgao wa mali? Kwani ndoa ni lazima iandikishwe huko kwenye usajili? Ndoa inaanza pale ushirikiano ndani ya nyumba unapoanza, hiyo ndio ndoa. Kama mwanamke ataasi basi aondoke tu aache mali aende akaanze kutafuta upya kwingine
Unless kuna sheria inaamuru kumlipa mwanamke kwa uchangiaji wake wa ngono na uzalishaji watoto. Unfortunately, hiyo sheria haipo. Na ikitokea basi hiyo ndiyo siku nitakayoenda kujitoa muhanga Dodoma.