Mwanamke ukiishi naye kinyumba (bila ndoa) hata kwa miaka kadhaa, kisheria hastahili kupata chochote endapo mtaachana

Unaandika upuuzi aisee. Ni wanawake wangapi wanachangia maendeleo ya mwanaume zaidi ya kuwa consumers na liability? Wanawake hawana faida yoyote kwa mwanaume economically zaidi ya kupanua miguu na kuzaa watoto.

Unless kuna sheria inaamuru kumlipa mwanamke kwa uchangiaji wake wa ngono na uzalishaji watoto. Unfortunately, hiyo sheria haipo. Na ikitokea basi hiyo ndiyo siku nitakayoenda kujitoa muhanga Dodoma.
 
Amempotezea muda huo muda aliokuwa anamtro angekuwa kwenye shughuli nyingine za uzalishaji mali
Hahaha!! Shughuli nyingine za uzalishaji mali kukaa kwa wazazi wake akila ugali wa bure au kujiuza?

Be specific.
 
Hakuna kitu kama hicho wewe.
Kila jambo lina mwanzo na mwisho. Mmeishi kwa miaka 6? Evidence ya kuonyesha mlianza kuishi miaka 6 nyuma officially iko wapi?
Kuishi na mwanamke kwa zaidi ya miaka 2 kivipi? Nyumba moja chumba kimoja au hata nyumba moja vyumba mbalimbali? Je kama ni mpangaji uliyekuwa unapiga mara moja moja? Vipi kama haupigi?
Vipi kama ni roommate?
Vipi kama ulikuwa unapiga na kumzalisha lakini hamuishi nyumba moja? Au evidence ni mahusiano? Vipi kama ni friends with benefits au your favorite hooker? Unajuaje? Define maana ya "Kuishi pamoja kwa zaidi ya miaka 2" ili tuelewane hapa.

Yaani wakati wanakutana hakusema wala kwenda mahakamani alafu siku wanachaana (hawakuachana sababu hawakuwahi kuwa pamoja kisheria) anaenda mahakamani? Mahamaka ni physical na logical evidence tu na sio stori za vijiweni au wewe unadhani cheti cha ndoa ni karatasi za kuvutia sigara?

Mmekutana kimyakimya mtaachana kimyakimya. Hii Sheria yenye makosa lukuki umeiokotea wapi wewe mwanasheria wa vichochoroni?
 
Bullshit, hichi ulichoandika hakimake sense. Yaani alichuma mali maisha yake yote alafu akastop kuchuma kwa miaka 6 baada ya kukutana na huyo mnyonya damu?
🚮 🚮 🚮
Unaprove vipi hili kisheria? Au hizo mali zimegeuka embe kwamba unachuma na kuacha unavyoamua?
Mali zinazogawanwa ni kama nyumba, mashamba, magari, pesa benki,...

Kwa mfano kama huyo mwanaume alishajenga nyumba kadhaa amepangisha anachukua kodi tu, au ana gari zinamuingizia kipato, nk, maana yake ni kuwa huyo mwanamke amemkuta na hizo assets, so hawezi kuzidai. Ila kama akizipata wapo pamoja anakuwa na haki kudai..

Au ulifikiri watagawana nguo na ugali?!
Kiufupi hakuna ndoa bila ya physical evidence ya karatasi ya cheti cha ndoa na mashahidi. Otherwise hata mpigane superglue na mgandane kwa miaka 3000, bado hamtotambulika kama wanandoa.
Duh, kumbe hujui kitu, foolish!
 
Kwamba ukiambiwa kuishi kinyumba kama mume na mke wewe haujui au unataka kubishana tu? Mkiishi kinyumba zaidi ya miaka miwili uyo tayari ni mkeo kesi ikienda mahakamani ataambiwa athibitishe kama mlikua mnaishi pamoja ndipo hapo atatakiwa kuleta mashaidi mfano majirani, mjumbe n.k ila kama mlifunga ndoa hao mashaidi hawatahitajika atatakiwa kuonesha cheti cha ndoa tu. Katika kesi ya jamaa kilichompa ushindi ni kwamba mwanamke alishindwa kuthibitisha kama kweli waliishi pamoja miaka 6 kwaiyo mahakama ikatafsiri uyo mwanamke alikua kimada tu, kama mwanamke angeweza kuthibisha angepata gawio.. nini haujaelewa mzee baba?
 
Usithubutu. Kama tayari kuna mgogoro kati yenu ukifanya hivyo lazima utadakwa tu ukaishi ndani milele, halafu hizo mali zote pamoja na huyo 'gumegume' utaachia wengine
Hauwezi ukadakwa bila ushaidi wa kukutia hatiani.
 
Lkn mbona sheria hy hy inasema ukikaa na mwanamke kwa miaka miwili bila nyaraka za kufunga nae ndoa, bado sheria zitawatambua kama wanandoa.

Kwahy tushike lipi tuache lipi.?
Leta source hapa sio kujisemea tu. Sheria namba ngapi ya mwaka gani?
 
Hauwezi ukadakwa bila ushaidi wa kukutia hatiani.
Hivi unafikiri wale wanaopeleka askari kuonyesha walipozika wahanga wao kwa siri sana huwa wanapenda?

Wanakuvunja pumb.u moja kwanza kwa koleo, wanang'oa jino bila ganzi, wanaingiza spoke ndani ya mb,o hadi inaishia ndani, unalainika na kufunguka kila kitu.

Kama tayari kuna mgogoro kati yenu halafu ukamuondoa huchomoi broo, utadakwa chap na ushahidi utawasilisha mwenyewe baada ya kibano.
 
Umeeleweka mkuu,hapo sasa umeweka wazi kila kitu ili watu wasije kukurupuka kuiga wakaangukia pua.
 
Ikoje kisheria endapo mume akachukua mikopo benk akajenga halafu mkatengana kwenye mgao nyumba inatakiwa kuuzwa wakati huo makato ya benk wanakata kwenye salary ss hapo Bora nyumba iuzwe. Tulipe den la bank au mmoja aumie na makato
 
Mmmh...umeongea kwa hasira kweli mkuu ebu kunywa fundo la maji hapo karibu upunguze jazba kidogo kha!
 
Kuna kesi za rufaa ziliwekwa humu zikaonyesha kuanzia miaka 2 ni ndoa by implication.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…