MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Miaka buku,HAIWEZEKANI.Ni ulimbukeni tu kuhusisha vitu na tabia za mtu. Unaweza kuta asiekuwa na tattoo akawa kahaba mapepe kuliko hata mwenye tattoo mwili mzima.
okMiaka buku,HAIWEZEKANI.
Anazungunzia kuoa sio Kupenda,Aisee tuko tofauti.
Napenda mwanamke mwenye tattoo, aliyetoboa vipini mwilini, napenda sana.
Mama mtoto au mke?Nipo na mama mtoto hapa amejichora tattoo yake ya mgongo hana shida na mtu
Lakn wote ni makahaba.[emoji16][emoji28]Ni ulimbukeni tu kuhusisha vitu na tabia za mtu. Unaweza kuta asiekuwa na tattoo akawa kahaba mapepe kuliko hata mwenye tattoo mwili mzima.
Either orMama mtoto au mke?
Na kuna wengine hawachori tattoo wanaigawa kama vile tshirt za meimosiWakuu wanawak weng waliochor tatoo hasa sehem zsizoonekan(mapaja, mgongoni, kiunon, kifuan, nk)hujikut wananyanduliw na wanaume wachoraj wa hzo tatoo mara nyng wakat wa zoez la uchoraj..
So mchoraj anawez kula matund kimasihar tu..bila ktumia hat kinga so mchoraj anawez kuambukizw na yy kuwaambukiz wengne..
Na ww ukion dem kachor tatoo unapagaw tena unafight ule tunda lak kimasihar bila hat kuwaz kutumia kinga..
SHITUKAAA!!!...hizo za ndan 2 nakupa.[emoji41][emoji41]
Tattoo ni jadi ya nchi zilizoendelea kama Ulaya na Marekani. Huko mwanamke kuchora tattoo ni kama wanawake wa kiafrika wanavyotoga masikio. Enzi hizo, hasa Dar, kipindi wanawake makahaba wanaitwa wanawake wa magot, wateja wao wakubwa walikuwa ni wazungu wanaokuja Tanzania. (Magot ilikuwa ni bar (night club?) iliyokuwa Dar na wateja wake wengi walikuwa wazungu na makahaba wa Dar) Hao makahaba walikuwa wanaiga mambo mengi ya kizungu kama kuvuta sigara, kuchora tattoo nk. Kwa hiyo basi, kuvuta sigara au kuchora tattoo imebakia kama alama ya ukahaba.Mambo ya tattoo sifagilii kamwe!
Unaanza kuoa kabla hujapenda?Anazungunzia kuoa sio Kupenda,
Umetisha sana. Asante kwa nyongeza hiiTattoo ni jadi ya nchi zilizoendelea kama Ulaya na Marekani. Huko mwanamke kuchora tattoo ni kama wanawake wa kiafrika wanavyotoga masikio. Enzi hizo, hasa Dar, kipindi wanawake makahaba wanaitwa wanawake wa magot, wateja wao wakubwa walikuwa ni wazungu wanaokuja Tanzania. (Magot ilikuwa ni bar (night club?) iliyokuwa Dar na wateja wake wengi walikuwa wazungu na makahaba wa Dar) Hao makahaba walikuwa wanaiga mambo mengi ya kizungu kama kuvuta sigara, kuchora tattoo nk. Kwa hiyo basi, kuvuta sigara au kuchora tattoo imebakia kama alama ya ukahaba.