Mwanamke ukimkuna vizuri na huna mavumba unamchanganya sana

Mwanamke ukimkuna vizuri na huna mavumba unamchanganya sana

Nimetulia, Lakini dawa si buku bee sijui🤔 sema huyo dem wako naye njaa kali mno duhh😅
😂😂😂😂😂
Si hawa wa mtaani, huyu ndio yule niliekwambia kauliza nafanya kaz gani, na sijataka nimfungukie.
 
Yes mkuu,
Na mimi mambo ya kuhudumia na wakati huduma unaweza usipate ni ujinga huo?
Jinsi ha ku bargain ndio tatizo maana kila mtu haongei wazi wazi.😂
Kwahiyo kijana unataka tuongee biashara sio?😁
 
Sawa kama anauza aftatu sio mbaya, mtumie hiyo aftatu na ya kutolea kajiloe mzigo kiulainii..
Umenichekesha sana et dem njaa kali,
Nimemuuliza we unafanya mishe gani, majibu hayaeleweki, nikajua hapa hamna kitu.😂
 
Umenichekesha sana et dem njaa kali,
Nimemuuliza we unafanya mishe gani, majibu hayaeleweki, nikajua hapa hamna kitu.😂
Labda ni dada poa, nayo ni kazi we kijana! Msikiliziee.. kwani unatafuta mke au unataka kujipigia tu?
 
Umekusudia yule kiumbe anae jichukia mwenyewe na kuanza kujiweka makeup,wigi,kope bandia matiti bandia?. Kuna mmoja juzi aliweka msambwanda bandia sasa tak…o moja la Mobeto na moja la Zuchu🤣🤣🤣
Nimecheka Sana 😂
 
Ila ufundi wako chumbani usiwe sababu ya kutokutafuta hela mkuu,maana hawa kina Seran huwa hawatabiriki kabisa.

Anaeza akabadilika muda wowote and you'll not like it
 
Inategemea, kama hizo pesa za dawa zina thamani ya kurudisha malipo kwa mtoaji mbona hatari!
Ishu ya dawa ni mfano mmoja tu, kwa mwanamke interaction yoyote na mwanaume anaiona kama fursa ya kupata unafuu fulani sansana wa kifedha. Mkikutana mgahawani ataomba mnunulie chipsi, bar ataomba bia n.k, and in most cases shida wanazoombea hela sio za kweli text hiyo hiyo moja wanai-forward kwa wanaume wengi.

Wanawake wengi wana mentality kwamba wana haki ya kupewa hela za bure bure na wanaume. Hata hiyo hela ya dawa yenyewe sio ya kuombaomba tu kwa wanaume. Una kazi, weka akiba kwa ajiri ya dharula kama hiyo ya kuumwa. Kama hauna kazi basi una ndugu, waombe hela ya dawa hao.
 
Manz ya ku settle nayo tu, madam mtumishi
Umeona uniite madam mtumishi ili nianzishe maombi sio😂 sasa kama ni wa kusettle naye itakubidi umwambie ukweli ili aache ujinga!

Kuna age ukifika in 20s unakuwa unaiga kundi la age yako, kufanya tu vitu ata kama sio tabia yako! Asionekane boya kwa marafiki zake, wasimuite kakopwa, mwanamke mwingine kupewa pesa ndio anajiona wa level fulani hivi, kama kaheshimishwa basi na si lolote! Ukimchunguza vzr utaona tu kama kweli ni mkwe au magumashi.. nenda naye taratibu huo umri sio mchezo kabisa!
 
Back
Top Bottom