Mwanamke ukimkuna vizuri na huna mavumba unamchanganya sana

Tafuta pesa Bwamdogo! Mtoto wa kiume bila pesa, utapendwa tuu na mama yako mzazi! 😁
Tunavyowaambia vijana wao ni useless wasipokua na hela, watakapozipata na kuanza kuwabadilisha dada na mabinti zetu kama nguo basi tuwe wapole. Jamii ambayo ishamtengeneza mwanaume asiekua na hela kuonekana takataka, haina uhalali wa kumwambia chochote atakapozipata.
 
Ishu ya dawa ni mfano mmoja tu, kwa mwanamke interaction yoyote na mwanaume anaiona kama fursa ya kupata unafuu fulani sansana wa kifedha. Mkikutana mgahawani ataomba mnunulie chipsi, bar ataomba bia n.k, and in most cases shida wanazoombea hela sio za kweli text hiyo hiyo moja wanai-forward kwa wanaume wengi.
Duhh mnaongelea kundi lipi hili au la wanafunzi wa vyuoni? Chipsi??? Em kuweni serious basi..🙄
Wanawake wengi wana mentality kwamba wana haki ya kupewa hela za bure bure na wanaume. Hata hiyo hela ya dawa yenyewe sio ya kuombaomba tu kwa wanaume. Una kazi, weka akiba kwa ajiri ya dharula kama hiyo ya kuumwa. Kama hauna kazi basi una ndugu, waombe hela ya dawa hao.
Hela za bure maana yake nini? Kwamba hajatoa kitu, akitoa anapewa? Hiyo pesa ya dharula huenda anayo ila kaamua tu kumuomba mtu asiye na mpango naye! Saa nyingine kama hatumtaki mtu tunamwomba pesa ili apotee mazima asije kurudi, inatusaidia sana..

lakini kumuomba mpenzi wake mi sioni ajabu kwakweli, japo siwezi kuomba pesa za namna hii mimi! Ila hapo kwa ndugu zake hmm we bro unaweza kuomba ndugu zako pesa? Ndugu hawa hawa?
 
Umeona uniite madam mtumishi ili nianzishe maombi sio😂 sasa kama ni wa kusettle naye itakubidi umwambie ukweli ili aache ujinga!

Kuna age ukifika in 20s unakuwa unaiga kundi la age yako, kufanya tu vitu ata kama sio tabia yako! Asionekane boya kwa marafiki zake, wasimuite kakopwa, mwanamke mwingine kupewa pesa ndio anajiona wa level fulani hivi, kama kaheshimishwa basi na si lolote! Ukimchunguza vzr utaona tu kama kweli ni mkwe au magumashi.. nenda naye taratibu huo umri sio mchezo kabisa!
Nitakupa mrejesho.
 
Tunavyowaambia vijana wao ni useless wasipokua na hela, watakapozipata na kuanza kuwabadilisha dada na mabinti zetu kama nguo basi tuwe wapole. Jamii ambayo ishamtengeneza mwanaume asiekua na hela kuonekana takataka, haina uhalali wa kumwambia chochote atakapozipata.

Pata hela, ukishazipata ndio utajua uishi vipi. Akili ile ile uliyotumia kupata hela, hiyo hiyo itakuongoza uishi vipi!

Nje ya mada: Dunia ni katili sana kwa mwanaume asiekuwa na hela. Akili kumkichwa.
 
kazi ya sex ni kwaajili ya kuzaa tu, la sivyo ni mwanamke tu ndiye anaefaidi tendo la sex. Faida kuu anzopata mwanamke kwenye sex ni pamoja na
1. kujisikia raha kuliko mwanaume wakati ule
2. Kuimarika mfumo wake wa uzazi. sex inasababisha hormone balance inayoimarisha kuta za uzazi, afya ya matiti na cervix.
3. Shahawa ni kati ya vyanzo bora vya protein safi sana kwa mwanamke. Shahawa inatengenezwa kwa protein bora kabisa ambayo inaweza kuvyonzwa mwilini inapomwagwa popte kwenye uke au ngozi ya mwanake.
4. Sex ni chanzo cha mapato, lishe, nauli, vocha na pahala pa kulala kabla na baada ya sex.
5. Anapata mimba: Mimba ina faida kwa afya ya mama. Na hata mtoto akizaliwa atamhudumia mama yake zaidi kuliko baba yake.

Bahati mbaya tu Wanaume hawajui kuwa sex inamnufaisha mama zaidi kuliko mwanaume, mwanaume anakufa haraka zaidi kama akiendekeza sex wakati mwanamke anaweza kuishi miaka mingi zaidi kama ataendekeza sex ya mara kwara.
Hao pimbi ndo ingetakiwa watuhonge sisi sio sisi tuwahonge wao.

Mi ndo maana Toka nigundue Hilo nshaga acha kutomba, Yani kuliko nihonge kisa kutomba heri nikanunue kuku mzima nimrosti nimle au tumle na familia yetu
 
Duhh mnaongelea kundi lipi hili au la wanafunzi wa vyuoni? Chipsi??? Em kuweni serious basi..🙄
Sio wanafunzi wa chuo tu. Kuna masingle mother, wanapiga mizinga balaa. Ukikaa kiboya unaweza kuletewa mpaka mahitaji ya mtoto wake
Hela za bure maana yake nini? Kwamba hajatoa kitu, akitoa anapewa?
Absolutely
Hiyo pesa ya dharula huenda anayo ila kaamua tu kumuomba mtu asiye na mpango naye! Saa nyingine kama hatumtaki mtu tunamwomba pesa ili apotee mazima asije kurudi, inatusaidia sana..
Na akituma unarudisha mhamala? au ndio ile hauna mpango nae lakini hela yake una mpango nayo.
lakini kumuomba mpenzi wake mi sioni ajabu kwakweli, japo siwezi kuomba pesa za namna hii mimi! Ila hapo kwa ndugu zake hmm we bro unaweza kuomba ndugu zako pesa? Ndugu hawa hawa?
Ndugu zako ndio wanawajibika na mahitaji yako kwa kipindi ambacho hauna kazi ya kukuingizia kipato au bado haujaolewa
 
Sio wanafunzi wa chuo tu. Kuna masingle mother, wanapiga mizinga balaa. Ukikaa kiboya unaweza kuletewa mpaka mahitaji ya mtoto wake
Duhh hii kali
Absoulutely!
Hii sasa ni biashara!
Na akituma unarudisha mhamala? au ndio ile hauna mpango nae lakini hela yake una mpango nayo.
Ndio mbona iko wazi! Nirudishe ni ndugu yangu huyo..
Ndugu zako ndio wanawajibika na mahitaji yako kwa kipindi ambacho hauna kazi ya kukuingizia kipato au bado haujaolewa
Hahahaaa! We wasema ila wenzio kwa ground wanahudumia mpaka sio mchezo🤭
 
kazi ya sex ni kwaajili ya kuzaa tu, la sivyo ni mwanamke tu ndiye anaefaidi tendo la sex. Faida kuu anzopata mwanamke kwenye sex ni pamoja na
1. kujisikia raha kuliko mwanaume wakati ule
2. Kuimarika mfumo wake wa uzazi. sex inasababisha hormone balance inayoimarisha kuta za uzazi, afya ya matiti na cervix.
3. Shahawa ni kati ya vyanzo bora vya protein safi sana kwa mwanamke. Shahawa inatengenezwa kwa protein bora kabisa ambayo inaweza kuvyonzwa mwilini inapomwagwa popte kwenye uke au ngozi ya mwanake.
4. Sex ni chanzo cha mapato, lishe, nauli, vocha na pahala pa kulala kabla na baada ya sex.
5. Anapata mimba: Mimba ina faida kwa afya ya mama. Na hata mtoto akizaliwa atamhudumia mama yake zaidi kuliko baba yake.

Bahati mbaya tu Wanaume hawajui kuwa sex inamnufaisha mama zaidi kuliko mwanaume, mwanaume anakufa haraka zaidi kama akiendekeza sex wakati mwanamke anaweza kuishi miaka mingi zaidi kama ataendekeza sex ya mara kwara.
We jamaa ni mpumbavu sana aliyekwambia shahawa ni chanzo cha protein alikudanganya othewise huyo mwanamke anywe hizo mbegu
 
Pata hela, ukishazipata ndio utajua uishi vipi. Akili ile ile uliyotumia kupata hela, hiyo hiyo itakuongoza uishi vipi!

Nje ya mada: Dunia ni katili sana kwa mwanaume asiekuwa na hela. Akili kumkichwa.
Hela ya kutimiza mahitaji yangu, ya familia, kula bata, kusaidia ndugu na kufanya mambo ya kimaendeleo ninayo. Hata nikiamua kuishi promiscuos life uwezo huo ninao. Kuanzia mtaani mpaka viwanja vyangu vya kumwagilia moyo wanawake wengi tu ninaokutana nao wanafosi kingi, but am not pvssy driven. Kiukweli sioni maajabu ya hela kama mnavyoitukuza. Kwamba eti umeona potential ya kijana halafu usimthamini kwa sababu hana hela.! kwangu naona hayo ni mawazo ya kimasikini
 
Hela ya kutimiza mahitaji yangu, ya familia, kula bata, kusaidia ndugu na kufanya mambo ya kimaendeleo ninayo. Hata nikiamua kuishi promiscuos life uwezo huo ninao. Kuanzia mtaani mpaka viwanja vyangu vya kumwagilia moyo wanawake wengi tu ninaokutana nao wanafosi kingi, but am not pvssy driven. Kiukweli sioni maajabu ya hela kama mnavyoitukuza.

Utaona maajabu ya kitu ambacho hauna mkuu?
Tafuta hela mkuu, huna wewe!
 
Hela ya kuishi vizuri kibongo bongo ipo mdogo angu. But i have nothing to prove to such dickhead like you. You're down to my levels, by far.
 
Hapana ajira nilishapata mingi imepita. Nimefanya kazi Deloitte. Qualifications za kuingia pale sidhani kama kuna hata mtu mmoja kwenye ukoo wenu anazo.

Watu wenye pesa hawauzi maarifa, muda na uhuru wao kwa wengine! Watu wenye pesa, pesa zao huwafanyia kazi mkuu, huku wakibaki na muda na uhuru wao. Sasa wewe endelea kuamka alfajiri, kukaa kitako hapo Deloitte, huku ukiendelea kutukana watu na kuvimba kuwa una pesa! Badirika kijana.
 
Nimekuzidi kila kitu mkuu hauna cha kunishauri, na wewe piga kwanza GPA ya first class with honours, uchukuliwe na mashirika ya kimataifa moja kwa moja kutoka chuo, uwe unalipwa mshahara na bonuses zingine kwa dola ndio uweze kujadiliana na mimi.
 
Hongera sana mkuu kwa mafanikio hayo! Umefanikiwa sana, kweli umenizidi mbali sana kimafanikio. Hongera sana. 😊
 
Hahahaaa! We wasema ila wenzio kwa ground wanahudumia mpaka sio mchezo🤭
Nyie wanaharakati wa usawa wa kijinsia ndio mnabidi msimame kidete kukemea ilo suala. Maana kitendo cha mwanaume kumuhudumia mwanamke ni dharau, hapo indirectly mwanaume anamwona mwanamke kama kiumbe dhaifu asiyejiweza kwaiyo anahitaji msaada.

Lile jina la "independent women" mnalojipa kwenye harakati zenu za ufeminia ndio inabidi muoneshe mfano kivitendo kwa kujilipia bills zenu na kukataa provision kutoka kwa mwanaume
 
Kwakweli hapo mnitoe kwenye hilo kundi la wanaharakati! Yani nishabikie watu wasipewe pesa si ntaonekana mchawi wa kwanza😅 akhuu! Watu wapeane pesa bwana watajijua wenyewe huko!
 
Back
Top Bottom