Mwanamke ukimkuna vizuri na huna mavumba unamchanganya sana

Tafuta pesa Bwamdogo! Mtoto wa kiume bila pesa, utapendwa tuu na mama yako mzazi! 😁
Tunavyowaambia vijana wao ni useless wasipokua na hela, watakapozipata na kuanza kuwabadilisha dada na mabinti zetu kama nguo basi tuwe wapole. Jamii ambayo ishamtengeneza mwanaume asiekua na hela kuonekana takataka, haina uhalali wa kumwambia chochote atakapozipata.
 
Duhh mnaongelea kundi lipi hili au la wanafunzi wa vyuoni? Chipsi??? Em kuweni serious basi..🙄
Hela za bure maana yake nini? Kwamba hajatoa kitu, akitoa anapewa? Hiyo pesa ya dharula huenda anayo ila kaamua tu kumuomba mtu asiye na mpango naye! Saa nyingine kama hatumtaki mtu tunamwomba pesa ili apotee mazima asije kurudi, inatusaidia sana..

lakini kumuomba mpenzi wake mi sioni ajabu kwakweli, japo siwezi kuomba pesa za namna hii mimi! Ila hapo kwa ndugu zake hmm we bro unaweza kuomba ndugu zako pesa? Ndugu hawa hawa?
 
Nitakupa mrejesho.
 
Pata hela, ukishazipata ndio utajua uishi vipi. Akili ile ile uliyotumia kupata hela, hiyo hiyo itakuongoza uishi vipi!

Nje ya mada: Dunia ni katili sana kwa mwanaume asiekuwa na hela. Akili kumkichwa.
 
Hao pimbi ndo ingetakiwa watuhonge sisi sio sisi tuwahonge wao.

Mi ndo maana Toka nigundue Hilo nshaga acha kutomba, Yani kuliko nihonge kisa kutomba heri nikanunue kuku mzima nimrosti nimle au tumle na familia yetu
 
Duhh mnaongelea kundi lipi hili au la wanafunzi wa vyuoni? Chipsi??? Em kuweni serious basi..🙄
Sio wanafunzi wa chuo tu. Kuna masingle mother, wanapiga mizinga balaa. Ukikaa kiboya unaweza kuletewa mpaka mahitaji ya mtoto wake
Hela za bure maana yake nini? Kwamba hajatoa kitu, akitoa anapewa?
Absolutely
Hiyo pesa ya dharula huenda anayo ila kaamua tu kumuomba mtu asiye na mpango naye! Saa nyingine kama hatumtaki mtu tunamwomba pesa ili apotee mazima asije kurudi, inatusaidia sana..
Na akituma unarudisha mhamala? au ndio ile hauna mpango nae lakini hela yake una mpango nayo.
lakini kumuomba mpenzi wake mi sioni ajabu kwakweli, japo siwezi kuomba pesa za namna hii mimi! Ila hapo kwa ndugu zake hmm we bro unaweza kuomba ndugu zako pesa? Ndugu hawa hawa?
Ndugu zako ndio wanawajibika na mahitaji yako kwa kipindi ambacho hauna kazi ya kukuingizia kipato au bado haujaolewa
 
Sio wanafunzi wa chuo tu. Kuna masingle mother, wanapiga mizinga balaa. Ukikaa kiboya unaweza kuletewa mpaka mahitaji ya mtoto wake
Duhh hii kali
Absoulutely!
Hii sasa ni biashara!
Na akituma unarudisha mhamala? au ndio ile hauna mpango nae lakini hela yake una mpango nayo.
Ndio mbona iko wazi! Nirudishe ni ndugu yangu huyo..
Ndugu zako ndio wanawajibika na mahitaji yako kwa kipindi ambacho hauna kazi ya kukuingizia kipato au bado haujaolewa
Hahahaaa! We wasema ila wenzio kwa ground wanahudumia mpaka sio mchezo🤭
 
We jamaa ni mpumbavu sana aliyekwambia shahawa ni chanzo cha protein alikudanganya othewise huyo mwanamke anywe hizo mbegu
 
Pata hela, ukishazipata ndio utajua uishi vipi. Akili ile ile uliyotumia kupata hela, hiyo hiyo itakuongoza uishi vipi!

Nje ya mada: Dunia ni katili sana kwa mwanaume asiekuwa na hela. Akili kumkichwa.
Hela ya kutimiza mahitaji yangu, ya familia, kula bata, kusaidia ndugu na kufanya mambo ya kimaendeleo ninayo. Hata nikiamua kuishi promiscuos life uwezo huo ninao. Kuanzia mtaani mpaka viwanja vyangu vya kumwagilia moyo wanawake wengi tu ninaokutana nao wanafosi kingi, but am not pvssy driven. Kiukweli sioni maajabu ya hela kama mnavyoitukuza. Kwamba eti umeona potential ya kijana halafu usimthamini kwa sababu hana hela.! kwangu naona hayo ni mawazo ya kimasikini
 
Utaona maajabu ya kitu ambacho hauna mkuu?
Tafuta hela mkuu, huna wewe!
 
Utaona maajabu ya kitu ambacho hauna mkuu?
Tafuta hela mkuu, huna wewe!
Hela ya kuishi vizuri kibongo bongo ipo mdogo angu. But i have nothing to prove to such dickhead like you. You're down to my levels, by far.
 
Hapana ajira nilishapata mingi imepita. Nimefanya kazi Deloitte. Qualifications za kuingia pale sidhani kama kuna hata mtu mmoja kwenye ukoo wenu anazo.

Watu wenye pesa hawauzi maarifa, muda na uhuru wao kwa wengine! Watu wenye pesa, pesa zao huwafanyia kazi mkuu, huku wakibaki na muda na uhuru wao. Sasa wewe endelea kuamka alfajiri, kukaa kitako hapo Deloitte, huku ukiendelea kutukana watu na kuvimba kuwa una pesa! Badirika kijana.
 
Nimekuzidi kila kitu mkuu hauna cha kunishauri, na wewe piga kwanza GPA ya first class with honours, uchukuliwe na mashirika ya kimataifa moja kwa moja kutoka chuo, uwe unalipwa mshahara na bonuses zingine kwa dola ndio uweze kujadiliana na mimi.
 
Hongera sana mkuu kwa mafanikio hayo! Umefanikiwa sana, kweli umenizidi mbali sana kimafanikio. Hongera sana. 😊
 
Hahahaaa! We wasema ila wenzio kwa ground wanahudumia mpaka sio mchezo🤭
Nyie wanaharakati wa usawa wa kijinsia ndio mnabidi msimame kidete kukemea ilo suala. Maana kitendo cha mwanaume kumuhudumia mwanamke ni dharau, hapo indirectly mwanaume anamwona mwanamke kama kiumbe dhaifu asiyejiweza kwaiyo anahitaji msaada.

Lile jina la "independent women" mnalojipa kwenye harakati zenu za ufeminia ndio inabidi muoneshe mfano kivitendo kwa kujilipia bills zenu na kukataa provision kutoka kwa mwanaume
 
Kwakweli hapo mnitoe kwenye hilo kundi la wanaharakati! Yani nishabikie watu wasipewe pesa si ntaonekana mchawi wa kwanza😅 akhuu! Watu wapeane pesa bwana watajijua wenyewe huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…