Mwanamke ukimkuna vizuri na huna mavumba unamchanganya sana

Pata hela, ukishazipata ndio utajua uishi vipi. Akili ile ile uliyotumia kupata hela, hiyo hiyo itakuongoza uishi vipi!

Nje ya mada: Dunia ni katili sana kwa mwanaume asiekuwa na hela. Akili kumkichwa.
How much money is enough sir 🀣🀣🀣🀣 Dunia katili zaidi kwa mwanaume au mwanamke mwenye tamaa ya Hela.🀣🀣🀣
Utaona maajabu ya kitu ambacho hauna mkuu?
Tafuta hela mkuu, huna wewe!
How much Sirrrrr I How muuuuch??? I mean the quantity that Satisfies..
Hapana ajira nilishapata mingi imepita. Nimefanya kazi Deloitte. Qualifications za kuingia pale sidhani kama kuna hata mtu mmoja kwenye ukoo wenu anazo.
Ungebaki ku argue how much is enough kama awali, ulienda vizuri 🀣🀣 ila dakika za jioni ulivyoanza kuweka uhaya na kuingiza personalities ukaanza tupa mashaka ilikuaje pale Deloitte, in self assurance wenye mamlaka na uwezo they got nothing to prove.. 🀸🀸
 
Nilitaka jamaa ajue anajadiliana na mtu ambae sio level ya kupanga chumba na sebule na kumiliki toyota ya mtumba
 

Jamaa ni mvimbaji! He's definitely arrogant and a pathetic scumbag!

Tukianza hapa kusema, nani ni nani kwa hakika nitamshangaza na atabakia kunitukana sana. JF ni sehemu pekee unaweza bishana na mtu hana hata godoro. 😊
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
😁

Sawa sawa mchambuzi wa masuala ya sex
 
Jamaa ni mvimbaji! He's definitely arrogant and a pathetic scumbag!

Tukianza hapa kusema, nani ni nani kwa hakika nitamshangaza na atabakia kunitukana sana. JF ni sehemu pekee unaweza bishana na mtu hana hata godoro. 😊
Jk tuliza ballπŸ˜‚
 
Hii comment bila video haijakamilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…