Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Kipo bwana zamani walikuwa wanasema wanataka mwanaume tall dark and handsome, awe na pesa na anua kusugua mbususu Kelsea upo?
Kaka ? Nikuibie siri.
Hiyo zamani ni miaka mingapi imepita? Siku hazigandi mkuu na kwakuwa hazigandi miaka inasogea. Wa mwaka 2018 sio wa 2024. Kama hujanielewa nitatutumia namna nyingne kukuelewesha.
Mtoe Kelsea hapo haraka .
 
Kwakweli hapo lazima mgao uhusike 😃😂😂,, maana kila mtu atakua anamng’ang’ania.. Yanini pressure za ujanani wakati mikono na nguvu ninazo za kutafuta hela😃
Full package inatafutwa na kila mtu na kila atakayekutana nae katika watu 10 basi 8 kati yao wataenda kwa sangoma kuweka Tag ili wasiachwe 😂
 
Mawazo ya Kipumbavu, mnawaza kutunzwa tu na hapo hapo mnawaza 50/50,hamnaga akili nyie isipokua mama yangu tu mzazi ambaye na yeye watajuana na mshua
 
Nakuelewa sana,, tatizo me niko natetea mada ya Joannah ndo iliyopi mezani😂😂
 
Mkuu Umeamua Usizunguke[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…