Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Pambaneni mtapata wa ndoto zenu.. wenzenu tulishaomba tukawapataπŸ˜‚πŸ™Œ
Kila la kheri
 
Nimekuona tokea kule juu nikasema ngoja niendelee kukusoma, mwisho umefunguka mwenyewe.

Nikuulize tu, wewe hujawahi kuachana na mtu mwenzetu? Huyo uliyenaye ndio jamaa yako wa kwanza na utakufa nae?

Sikuweka sababu wala ukweli wa kuachana kwetu. Wewe unajuaje kwamba yeye ndio ameniacha na sio mimi nimemuacha?
Utajuaje labda mimi ndio nilikataa ndoa?
Epuka sana kuongelea mambo ya watu katika chuki ilhali huujui uhalisia.

Mimi kusema vipaumbele vyangu ndio kunifanye malaika? Mbona mimi nilisema naheshimu vipaumbele vyenu na hakuna nilikoweka dhihaka?

Half american ajichanganye vipi? Mi si niliweka wazi pale kabisa kwenye post ile ninae kaka mzuri tayari? Naona unaungua nafsi kweli mimi kupata sifa, pole.
 
Shetani ukimaanisha ?
Kama sio hawa viumbe, ungekuta tuko bustani ya Eden tuna kula na kunywa, hakuna shida kila kitu kimejaa, mali na kila aina ya utajiri vimejaa, shida ilianza tu baada ya hawa viumbe kuletwa, akawa na urafiki na shetani, tamaa yao ilianze huko, so acheni kufikiri utamridhisha, tamaa yake hatosheki, ni asili, ngoja nikae kimya, Biblia inasema hivyo.
 
Mbona umechukulia serious sana best πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ... kuna mahali nimekutonesha labda??
Anyways am Sorry πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
No women, no crying, kuna uhalisia kwenye hila ila tuishi nao kwa akili sana.
 
Wanawake wanazingatia sana hayo masuala mawili (Pesa pamoja na kufikishwa)

Nakumbuka Mwaka 1989, binti niliyekuwa namlipia Kodi kule Upanga alinisema karibu nife eti kwanini nimewahi kumaliza na yeye hajafika (nilitumia sekunde 15 kufika safari).

Nikamwambia unajua nina miaka mingapi?(Wakati huo nilikuwa ni Mzee wa miaka 53 na yeye alikuwa Binti wa miaka 20)

Pesa na kumridhisha Mwanamke ni vitu aghalabu sana kuvikuta Kwa Mwanaume mmoja.

Binti ukimpata Mwanaume wa hivyo, hakikisha humpotezi kirahisi 😜
 
Nakazia hapo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…