Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Nilipokuwa mdogo nilikuwa napenda sana kuwatania wazee, sasa nimezeeka nataniwa πŸ˜‚ Alisikika mzee mmoja wa kada ya Mpwayungu Village

Babu shikamoo
 
Nikisema umeniongelea mimi hapa itakuwa vita 🀣🀣🀣

Jamani sio kila mwanamke ana njaa, wengine sisi independent hatuingizi njaa zetu kwenye mahusiano.

Laiti wangejua? Mwanamke anayeficha njaa zake ndiye anayekula kivulini. Hakuna mwanaume anayependa mwanamke anayependa hela katika mahusiano, na zaidi kiwe kigezo kabisa.

Itabidi siku niweke uzi kuwapa somo, elimu sio shule peke yake.
 
Wadada wanamna hii wanaishia kuwa single tu. Mnakua na expectations sana mwishowe mnakosa vyote, na hamelewek Leo mnatak mashine kesho Pesa. Kwel mandiko yasemavyo tuish nao Kwa akili
 
Nilipokuwa mdogo nilikuwa napenda sana kuwatania wazee, sasa nimezeeka nataniwa πŸ˜‚ Alisikika mzee mmoja wa kada ya Mpwayungu Village

Babu shikamoo
Mabinti watuonee huruma Wazee, mambo ya kutaka tuwapandishe mlima Kilimanjaro hizo pumzi tunazitoa wapi na Umri huu πŸ€—
Hahahaha.................kwamba shikamoo zimehamia kwako πŸ˜…

Marahaba Mkuu
 
Leta mkuu, ukileta namimi nilete wangu mujarabu kabisa, usisahau kunitag
 
Sema neno na roho yangu itapona Dr
Kweli....??πŸ™‚

In all honesty, I'm all about living a good life & I'm a bad spender πŸ™ˆ , so, it's obvious najua umuhimu wa hela. Lakini haijawahi kuwa kigezo cha mimi kuingia kwenye mahusiano... Na moja ya principles zangu ni kutoingia kwenye mahusiano when I'm struggling financially, kwasababu sipendi wala sitaki kuwa tegemezi kwa mwanaume. Maisha yakinipiga nakopa kopa kwa watu wangu wa karibu mwishowe narejesha.

Ila kutokana na huu mjadala ngoja nimtafute ex mmoja nijiweke na mimi nipate kutunzwa walau kidogo maana niliwavumilia wakati wanajitafuta.😌
 
Mabinti watuonee huruma Wazee, mambo ya kutaka tuwapandishe mlima Kilimanjaro hizo pumzi tunazitoa wapi na Umri huu πŸ€—
Hahahaha.................kwamba shikamoo zimehamia kwako πŸ˜…

Marahaba Mkuu
Hawa watu sijui tuwafanyie nini, mimi huwa nafanya niwezalo, nisiloweza basi but nahakikisha kila nifanyalo nalifanya kwa upendo ukizingatia mimi sio mtu wa kuruka ruka hovyo na ke tofauti tofauti, napenda utulivu.

Kwema huko ulipo babu 1988 ulikuwa 53 we ni babu G kabisa
 
Jiulize wewe, post yangu moja umefuatilia kila anayeijibu, na usingeongelea mambo yangu wala nisingekugusa.
Wa nini mimi wewe?
Pole mwaya naona jiwe limekupata gizani shogaangu...
Eti mimi wa niniπŸ˜‚πŸ˜‚,, unahisi mimi nina kazi na wewe labda??,, halafu kufatilia kila post mimi ndo unaona leo?? Na kwenye uzi huu??
Em mpikie kwanza kaka mzuri chai usije ukakosa tena ndoa kisa walimwengu kama sisi tusio na akiliπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
 
nadhani ushajua nilichotaka kukisema.
 

Kwa hiyo wewe cha msingi ni hela na siyo kufika kibo?
 
Sasa jiwe gani la kizani shoga mbona umesema waziwazi? Au nikufundishe jinsi ya kurusha jiwe kizani nini? Unaonekana mgeni mwaya bado una kamba mguuni kwenye hayo mambo.

Kaka mzuri anakunywa chai nchi za watu huko mpenzi, na kuhusu ndoa usiwaze wala sio pumzi hiyo.
Chill.
 
Mmm Kwa expalanation zako u r wife material kabsa ila last paragraph imeshusha credit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…