Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

✅ Nakazia
 
Anayekuridhisha hapo kibo na hana fedha anaweza kuja kujaaliwa fedha kama akipambana ila anayechop na hakufikishi sio rahisi kurudi katika default settings na wengi wanakuwa ni wazee, na wenye changamoto mbali mbali za maradhi.
 
We unamtaka yupi kati ya hao aliosema au alimradi anaepumua tu?
Joannah ameuliza mahali kwenye huu uzi eti kwani hamna vijana wenye hela, mm nkamuuliza asilimia ngapi ya vijana Tanzania wana uhakika wa kupata walau sh million 1 kwa mwezi, hapo sijaweka factor zingine, wadada wa sahivi standards zao nyingi hazipo realistic

Ukienda YouTube, Kevin Samuels (may he rest in peace) alikuwa anawaambia wanawake ukweli kuwa wapo delusional, hadi wanawake wakawa wanamchukia Extrovert
 
Wewe ndio uamke usingizini,Uzuri wa mwanaume sio sura Wala mwili kaka,,,we kuwa tu na walett nene uone
Na utu uzima wangu unadiriki kunidanganya kweli, uzuri wa mwanaume ni mwonekano wa sura, mwili, plus pochi nene, nyie ndo wale mnahongwa na Hassan kitambi, hisia ziko kwa bishoo wa gym Joannah
 
Baeleze baeleze siku ukishusha huo Uzi usisahau kunitag Nifah
 
Anayekuridhisha hapo kibo na hana fedha anaweza kuja kujaaliwa fedha kama akipambana ila anayechop na hakufikishi sio rahisi kurudi katika default settings na wengi wanakuwa ni wazee, na wenye changamoto mbali mbali za maradhi.
Ndio maana nawakumbudha wenzangu wakimpata wa vyote washikamane sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…