Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nililiona hilo mapema itabidi kikosi cha ukombozi kifanye kazi, haiwezekani 😅Na wewe kumbe umeona
Bidada wa watu hanaga neno na mtu 😅
Aliyehack tutampata tu
Kweli kabisa....we uko real,wengine wanapretebd sana😂
✅ NakaziaShida Binti miaka 23 tayar kashaonjwa na wanaume kibao. Ukifika wakat wa Kuolewa anataka yale mazuri ya Juma, Hassan, Joseph, Jofrey, Hamidu Nk awe nayo Mtu mmoja ambae ni Gwamaka... My Dear Friend Ukimpenda mtu kwa kitu flan na ukapata amani ya Moyo kabisaaa Mengine vumilia
Sasa na wewe badala uende zako kwenye jukwaa la uchumi na wewe Tena umo humuhumu kwenye promotion 🤔🤔🤔
Anayekuridhisha hapo kibo na hana fedha anaweza kuja kujaaliwa fedha kama akipambana ila anayechop na hakufikishi sio rahisi kurudi katika default settings na wengi wanakuwa ni wazee, na wenye changamoto mbali mbali za maradhi.Kwema?
Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.
Kuna wale wanawasha moto kwelikweli ukitoka hapo mwili wa baridi ila mfukoni tee, halafu kuna wale wenzangu wanachop ila anakuacha na unawakwa moto. By the way kama unae mpenzi ana kimoja katika hivyo basi tuendelee kumuombea Mungu ampe kilichokosekana.
NB: Achana na ile misemo Mungu hakupi vyote huo ni uwooongoooo.
Joannah ameuliza mahali kwenye huu uzi eti kwani hamna vijana wenye hela, mm nkamuuliza asilimia ngapi ya vijana Tanzania wana uhakika wa kupata walau sh million 1 kwa mwezi, hapo sijaweka factor zingine, wadada wa sahivi standards zao nyingi hazipo realisticWe unamtaka yupi kati ya hao aliosema au alimradi anaepumua tu?
Nop inategemea lkn... Hio aman unayoitaka comes with finding the right one, sio Kwa kigezo cha pesa au kwickwich. Those things fade with time.Kwa hiyo nikomae tu hata kama Sina amani?nasepaaaa
Na utu uzima wangu unadiriki kunidanganya kweli, uzuri wa mwanaume ni mwonekano wa sura, mwili, plus pochi nene, nyie ndo wale mnahongwa na Hassan kitambi, hisia ziko kwa bishoo wa gym JoannahWewe ndio uamke usingizini,Uzuri wa mwanaume sio sura Wala mwili kaka,,,we kuwa tu na walett nene uone
Kwani tendo ni ubazazi,usifanye hovyohovyo ila make sure ukifanya unafanya effectively
Baeleze baeleze siku ukishusha huo Uzi usisahau kunitag NifahNikisema umeniongelea mimi hapa itakuwa vita 🤣🤣🤣
Jamani sio kila mwanamke ana njaa, wengine sisi independent hatuingizi njaa zetu kwenye mahusiano.
Laiti wangejua? Mwanamke anayeficha njaa zake ndiye anayekula kivulini. Hakuna mwanaume anayependa mwanamke anayependa hela katika mahusiano, na zaidi kiwe kigezo kabisa.
Itabidi siku niweke uzi kuwapa somo, elimu sio shule peke yake.
Ndio maana nawakumbudha wenzangu wakimpata wa vyote washikamane sanaAnayekuridhisha hapo kibo na hana fedha anaweza kuja kujaaliwa fedha kama akipambana ila anayechop na hakufikishi sio rahisi kurudi katika default settings na wengi wanakuwa ni wazee, na wenye changamoto mbali mbali za maradhi.
How does this change the outcome logically..... Yaani unakuta watu wanaongelea mayai sababu wao sio kuku basi point zao kuhusu mayai zinakuwa void ?We ni ke au me