Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Basi ibaki hivyo ila njaa hazimpendezi mtu kama suti
Njaa mbaya bro, juzi nahesabu tofali zilizo tumika kujengea chumba Ninacho ishi😆.
👉Miksa kukosoa kazi ya mafundi
FB_IMG_17081454505687200.jpg
 
Kwema?

Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.

Kuna wale wanawasha moto kwelikweli ukitoka hapo mwili wa baridi ila mfukoni tee, halafu kuna wale wenzangu wanachop ila anakuacha na unawakwa moto. By the way kama unae mpenzi ana kimoja katika hivyo basi tuendelee kumuombea Mungu ampe kilichokosekana.

NB: Achana na ile misemo Mungu hakupi vyote huo ni uwooongoooo.
Joannah bn Leo akili imekutuma nini zaidi naona madini unadondosha tu apa🤏😂😂
 
Back
Top Bottom