Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanadai pesa ya mwanamke nayo huliwa na mganga na mchungaji iv ni kwel[emoji848]Sasa Hela ya mwanaume inaliwa na nani?chuma huliwa na kitu,Hela ya me huliwa na ke
🤣🤣🤣 Mengine yatajaziliziwa na pesa.Hapa nimekupigia vigelegele😛😛😛😛🤣🤣🤣🤣
Naunga mkono hoja.Tushasema mkitupa Hela tunatulia...
MUNGU akuokoe na tamaa... Pesa is an illusion 😏.Tushasema mkitupa Hela tunatulia...
NAKAZIA• Wanawake hawana formula,
• Mwanamke unaweza mfungulia biashara, alafu akaja kuolewa na mteja.
🤣🤣🤣🤣Atoto Nakupenda wewe ni msema kweli...Kuna malaika humu wamesema hawapendi Pesa
Love story na kaka mzuriSasa tuanze na upi? Love story yangu na kaka mzuri au kuwapa somo? [emoji1787][emoji1787]
Nakutafuta babuImagine kumiliki miaka 53 miaka 36 iliyopita [emoji12]
------------
Maisha ya sasa Mwanaume usipotulia ni vigumu sana kupata maendeleo.
Maana hakuna Mwanamke utaanzisha naye mahusiano usiache kumuhudumia,
Imagine una Mademu 3 Kwa pamoja. Utaweza kweli kujenga na kujiwekeza? Maana kipato chako chote kitakuwa kinaishia Kwao tu [emoji12]
Pia kuna risk ya kupata maradhi
Hivyo Chukueni tahadhari
Nipo Mjukuu, jaribu kunidipu maana simu yangu haina sauti 😜Nakutafuta babu
Haya takuDipu[emoji28]Nipo Mjukuu, jaribu kunidipu maana simu yangu haina sauti [emoji12]
Sawa Mjukuu, tena umefanya vizuri kunitafuta leo maana nilikuwa na mpango nije huko huko Mjini unipeleke Kliniki yangu ya Macho 😜Haya takuDipu[emoji28]
Mzee wa miaka 79 unadhani anaweza kuleta madhara gani Mjukuu🤗Ila Babu pamoja na kupoteza uoni ila Kuna vitu Huwa unaviona,so mjukuu awe makini😆😛