Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

50/50 ndo mpango, nipe nikupe

ndo kupendana

hicho kiambishi 'na' ni cha hali ya kutendeana

sasa nakupa hela, na wewe unipe, ndo hivyo....
 
Hilo limeisha mtu wangu, sasa hivi kazi kazi
emoji23.png
Una Imani yangu nyingi sana Sina shaka na wewe!
 
Back
Top Bottom