Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Shida Binti miaka 23 tayar kashaonjwa na wanaume kibao. Ukifika wakat wa Kuolewa anataka yale mazuri ya Juma, Hassan, Joseph, Jofrey, Hamidu Nk awe nayo Mtu mmoja ambae ni Gwamaka... My Dear Friend Ukimpenda mtu kwa kitu flan na ukapata amani ya Moyo kabisaaa Mengine vumilia
✅ Nakazia
 
Kwema?

Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.

Kuna wale wanawasha moto kwelikweli ukitoka hapo mwili wa baridi ila mfukoni tee, halafu kuna wale wenzangu wanachop ila anakuacha na unawakwa moto. By the way kama unae mpenzi ana kimoja katika hivyo basi tuendelee kumuombea Mungu ampe kilichokosekana.

NB: Achana na ile misemo Mungu hakupi vyote huo ni uwooongoooo.
Anayekuridhisha hapo kibo na hana fedha anaweza kuja kujaaliwa fedha kama akipambana ila anayechop na hakufikishi sio rahisi kurudi katika default settings na wengi wanakuwa ni wazee, na wenye changamoto mbali mbali za maradhi.
 
We unamtaka yupi kati ya hao aliosema au alimradi anaepumua tu?
Joannah ameuliza mahali kwenye huu uzi eti kwani hamna vijana wenye hela, mm nkamuuliza asilimia ngapi ya vijana Tanzania wana uhakika wa kupata walau sh million 1 kwa mwezi, hapo sijaweka factor zingine, wadada wa sahivi standards zao nyingi hazipo realistic

Ukienda YouTube, Kevin Samuels (may he rest in peace) alikuwa anawaambia wanawake ukweli kuwa wapo delusional, hadi wanawake wakawa wanamchukia Extrovert
 
Wewe ndio uamke usingizini,Uzuri wa mwanaume sio sura Wala mwili kaka,,,we kuwa tu na walett nene uone
Na utu uzima wangu unadiriki kunidanganya kweli, uzuri wa mwanaume ni mwonekano wa sura, mwili, plus pochi nene, nyie ndo wale mnahongwa na Hassan kitambi, hisia ziko kwa bishoo wa gym Joannah
 
Nikisema umeniongelea mimi hapa itakuwa vita 🤣🤣🤣

Jamani sio kila mwanamke ana njaa, wengine sisi independent hatuingizi njaa zetu kwenye mahusiano.

Laiti wangejua? Mwanamke anayeficha njaa zake ndiye anayekula kivulini. Hakuna mwanaume anayependa mwanamke anayependa hela katika mahusiano, na zaidi kiwe kigezo kabisa.

Itabidi siku niweke uzi kuwapa somo, elimu sio shule peke yake.
Baeleze baeleze siku ukishusha huo Uzi usisahau kunitag Nifah
 
Anayekuridhisha hapo kibo na hana fedha anaweza kuja kujaaliwa fedha kama akipambana ila anayechop na hakufikishi sio rahisi kurudi katika default settings na wengi wanakuwa ni wazee, na wenye changamoto mbali mbali za maradhi.
Ndio maana nawakumbudha wenzangu wakimpata wa vyote washikamane sana
 
Back
Top Bottom