Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

😂😂😂 jamani
 
Wewe unazingatia nini mkuu?
1. Heshima ~ Mwanaume ambaye sitosita kumtambulisha kokote. Hii ni deep, kuanzia yeye binafsi hadi kwangu.

2. Upendo~ Huu uwe ni pande zote, tupendane haswa, tuishi na kuzeeka tungali tunapendana.

3. Amani ~ Mimi ni muwazi, hivyo napenda mwanaume wangu awe ni kimbilio langu katika kila kitu. Baada ya yote, yeye awe tumaini langu.

Good news ni kwamba Mungu amenibariki kwa kaka mzuri tayari, Alhamdulillah.
 
abeeee
 
Mfano sasa hivi mda huu nipo kwenye mgahawa zimeingia pisi mbili kali,zimetangulizwa then vibabu vyao vimewafuata kwa nyuma. Mmmoja sijui hana experience ila anavyo ongea na kibabu chake anaona aibu na hayupo comfortable kabisa.

Kusema ukweli wanaume ambao mnawataka nyinyi wa kuwapa hela kwa ajili ya vitu luxury ni vibabu na wanaume za watu. Ila vijana ambao ni age yenu uwezo wao ni kuwapa mahitaji ya MSINGI.Swala lenu mkubali kuwa nyumba ndogo au single mother. Yaani siku hizi mnataka kijana anaye jitafuta ahandle vikoba,mikopo,michezo majina matatu na mahitaji mengine ni uongo.

Tatizo siku hizi hamjui kutofaitisha lipi hitaji la msingi lipi ni luxury na wengine hata zile feelings za mapenzi mshapoteza, mnafikiria hela sometimes mkikutana na wahuni wana watumia vibaya kingono na nyinyi mnaona sawa.

Yaani na watizama hawa mabinti hapa hata ile chemistry huioni bali tu wanatizama pochi basi.
 
Tatizo hilo
 
aiseeeee mama.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…