Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ushauri mzuri sana babu, huwa napenda kujifunza kwa wakubwa zangu.Imagine kumiliki miaka 53 miaka 36 iliyopita 😜
------------
Maisha ya sasa Mwanaume usipotulia ni vigumu sana kupata maendeleo.
Maana hakuna Mwanamke utaanzisha naye mahusiano usiache kumuhudumia,
Imagine una Mademu 3 Kwa pamoja. Utaweza kweli kujenga na kujiwekeza? Maana kipato chako chote kitakuwa kinaishia Kwao tu 😜
Pia kuna risk ya kupata maradhi
Hivyo Chukueni tahadhari
Ni wazi ukiendekeza mapenzi/wanawake huwezi kuendelea.
Mapenzi yanagharimu kila kitu afya, uchumi na muda. Na vyote hivi ni muhimu sana katika maendeleo binafsi.
Nayapenda sana mapenzi ila kuna muda nayaogopa sana.