Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Imagine kumiliki miaka 53 miaka 36 iliyopita 😜
------------
Maisha ya sasa Mwanaume usipotulia ni vigumu sana kupata maendeleo.

Maana hakuna Mwanamke utaanzisha naye mahusiano usiache kumuhudumia,

Imagine una Mademu 3 Kwa pamoja. Utaweza kweli kujenga na kujiwekeza? Maana kipato chako chote kitakuwa kinaishia Kwao tu 😜

Pia kuna risk ya kupata maradhi

Hivyo Chukueni tahadhari
Ushauri mzuri sana babu, huwa napenda kujifunza kwa wakubwa zangu.

Ni wazi ukiendekeza mapenzi/wanawake huwezi kuendelea.

Mapenzi yanagharimu kila kitu afya, uchumi na muda. Na vyote hivi ni muhimu sana katika maendeleo binafsi.

Nayapenda sana mapenzi ila kuna muda nayaogopa sana.
 
Kuna koment yako moja nilisoma mahali mwaka jana mwshoni kama sikosei, nikirelate na haya uliyoyaweka hapa leo ni watu wawili tofauti kabisa. Nwei maisha hubadilika na watu wake. Shortly ni kwamba leo unaunga mkono mambo ambayo ulikuwa ukiyapinga. Ni sawa na mimi niwe naunga mkono kataa ndoa.
Nimekupata my friend😃😃... Nadhani nilikwambia pia niko naunga mkono mada ya joannah tena nikiwa nacheka.., nadhani pia umeona kuna post nyingine nilisema mimi napenda nini..
You people me sijawahi kuwa serious humu jamani hua namsapoti tu kila mtu nikijiskia🤦‍♀️🤦‍♀️
 
Asante sana. Afya ya akili ni jambo la msingi sana.

Mwanaume kaagizwa aishi na mwanamke kwa akili. Maana yake, mwanaume anatakiwa awe na akili.

Lakini pia mwanaume kapewa jukumu la kuwa kiongozi wa familia.

Kiongozi wa familia lazima uwe unajiweza kifedha* kiakili na hata kitandani
Ujengewe SANAMU kaka yake.
 
Nimekupata my friend😃😃... Nadhani nilikwambia pia niko naunga mkono mada ya joannah tena nikiwa nacheka.., nadhani pia umeona kuna post nyingine nilisema mimi napenda nini..
You people me sijawahi kuwa serious humu jamani hua namsapoti tu kila mtu nikijiskia🤦‍♀️🤦‍♀️
✌ piiiiiiiiiiiiiiisi endi lavyuuuu
 
Sasa ukidet na wanawake wa kiswahilini wale rate ya kulogwa anytime inakuwa ni 80%....Wengi akili ndogo halafu shule walienda kujifunza kuhesabu na kusoma tu ila hawajaelimika na kupata exposure.
Tena we ulivyomjuaji nikikupata nakuendea Nampula Msumbiji Ili utulie hiyo akili yako hiyo,ubahili tupa kule😁😁😁
 
Mfano sasa hivi mda huu nipo kwenye mgahawa zimeingia pisi mbili kali,zimetangulizwa then vibabu vyao vimewafuata kwa nyuma. Mmmoja sijui hana experience ila anavyo ongea na kibabu chake anaona aibu na hayupo comfortable kabisa.

Kusema ukweli wanaume ambao mnawataka nyinyi wa kuwapa hela kwa ajili ya vitu luxury ni vibabu na wanaume za watu. Ila vijana ambao ni age yenu uwezo wao ni kuwapa mahitaji ya MSINGI.Swala lenu mkubali kuwa nyumba ndogo au single mother. Yaani siku hizi mnataka kijana anaye jitafuta ahandle vikoba,mikopo,michezo majina matatu na mahitaji mengine ni uongo.

Tatizo siku hizi hamjui kutofaitisha lipi hitaji la msingi lipi ni luxury na wengine hata zile feelings za mapenzi mshapoteza, mnafikiria hela sometimes mkikutana na wahuni wana watumia vibaya kingono na nyinyi mnaona sawa.

Yaani na watizama hawa mabinti hapa hata ile chemistry huioni bali tu wanatizama pochi basi.
Kwa maelezo yako hapo inahusika Histori na sio Chemistry.
 
Kwema?

Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.

Kuna wale wanawasha moto kwelikweli ukitoka hapo mwili wa baridi ila mfukoni tee, halafu kuna wale wenzangu wanachop ila anakuacha na unawakwa moto. By the way kama unae mpenzi ana kimoja katika hivyo basi tuendelee kumuombea Mungu ampe kilichokosekana.

NB: Achana na ile misemo Mungu hakupi vyote huo ni uwooongoooo.
Hii nchi ina vijana mnawaza kutiana muda wote.
 
Back
Top Bottom