Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mr Dell namtafuta, Alie andika hivi.
👉Kafanya nisumbuaa nyumbani🤒
FB_IMG_17084589977862859.jpg
 
Mwanamke hawezi kuwa na pesa bwana....hata kama ni CEO ila ya mpenzi ni tamuuuu
Nope kuna mwingine independent kinoma hata ukimpa vizawadi / pesa kwake anaona unamzingua (unadhani wakati Obama anahangaika na kufanya Harakati zake) na Michelle anamsaidia hapa na pale angeona Obama tule tupesa anamnunulia lingerie za huko France si angeitisha Kikao cha Dharula ?

Anyway to each his/her own ninapokubaliana na wewe ukipata ambapo positives kwako zinazidi negatives hakuna sababu ya kuendelea kurukaruka au kuharibu (ila hizo positives na negatives zinaweza kubadilika kulingana na mazingira) what then.... Je unaendelea kushikamana kwa kukumbushia the past ?
 
Joannah ameuliza mahali kwenye huu uzi eti kwani hamna vijana wenye hela, mm nkamuuliza asilimia ngapi ya vijana Tanzania wana uhakika wa kupata walau sh million 1 kwa mwezi, hapo sijaweka factor zingine, wadada wa sahivi standards zao nyingi hazipo realistic

Ukienda YouTube, Kevin Samuels (may he rest in peace) alikuwa anawaambia wanawake ukweli kuwa wapo delusional, hadi wanawake wakawa wanamchukia Extrovert
😂😂😂😂😂😂 kijana mwenye uwezo wa kupata 1M kwa mwezi huyo amejipata mbona. Wanawake wanachekesha mno na fantasy zao
 
Unadanganyika kirahisi sana brother.....Bora sie tunaosema ukweli na uwazi hao wa kujikuta independent 🤣🤣🤣🤣🤣hapo kwanza ncheke
Ukweli ni mzuri kama utazungumzwa katika muktadha sahihi. Ndio maana busara ni muhimu sana kwenye maisha yetu haya. Mfano mzuri ni mahakamani ambapo kusema ukweli ni tiketi yako ya kwenda jela moja kwa moja ikiwa umeshtakiwa.
 
Nashukuru Mungu amenijalia kuwasha Moto na mfukoni tee abarikiwe Kwa hili,,lakini pia nikifanikiwa kuwa na Pesa na Mungu nikaendelea kumshukuru Kwa kunijalia afya ya mifupa,,Damu na Nyama sidhani kama nitajisumbua kuwasha Moto,,Nitaanza kula mahotelini tuu
 
Ukweli ni mzuri kama utazungumzwa katika muktadha sahihi. Ndio maana busara ni muhimu sana kwenye maisha yetu haya. Mfano mzuri ni mahakamani ambapo kusema ukweli ni tiketi yako ya kwenda jela moja kwa moja ikiwa umeshtakiwa.
Ukweli itabaki kuwa ukweli,hauchangamani na uongo.... mwanamke kujisema eti yeye ni independent hataki kutunzwa na Mtu wake ni uongo... Sheria Iko hivi,Mwanaume asipokutunza wewe,atamtunza mwenzio....
 
Back
Top Bottom