Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Wenye akili tunajua na ushahidi tunao ya kwamba ili udumu na mwanamke katika mahusiano lazima uwe dikiteta au jasusi kwake (hata wao ndivyo wanavyotaka) lakini ukijifanya lofa na kujifanya eti unampenda saana na kumzimia saana lazima akunyee kichwani. Familia nyingi zimeanguka sababu kubwa ni kwa wanaume kutotambua kanuni hii. Hii ni kanuni ya asili ya kukaa na mwanamke kama kanuni nyingine za asili ya kwamba ukirusha jiwe juu lazima lirudi chini.
Ebu niwape mfano katika moja ya vitabu maarufu vinavyosomwa saana yaani Biblia: Katika kitabu cha "Esta 1:10-12"; kulikuwepo mfalme anaitwa Ahasuero (mtoto wa mfalme Darius mkuu) katika ufalme wa Uajemi (Iran ya sasa hivi). Huyu mfalme alikuwa na nguvu sana aliweza kutawala na kuangusha ngome za kifalme kama Ugiriki na kuziangusha. Sasa Bwana, ikawa siku moja aliwafanyia karamu (sherehe) majemadari na watawala wa majimbo yake; wakala na kunywa na kufurahi. Akatuma waangalizi wakuu saba (7) waliokuwa wanaangalia makazi ya wake na masuria (vimada) wa mfalme waende na kumuita huyo Malikia (Queen) wa mfalme ili awaonyeshe waalikwa jinsi alivyokuwa mrembo na mzuri. Kumbuka huyu ni mfalme mkuu kakaa meza kuu na kazungukwa na wakuu wa majimbo na majemedari wakuu wa vita. Na kipindi hicho sherehe kubwa kama hizo usingeweza kumuona mwanamke, walikuwa wanaume watupu. Hivyo basi, mfalme alikuwa amemuheshimisha saana Malikia na kumpelekea ujumbe wa wanaume saba (7) waende kumuita. Bila shaka walienda wamepanda magari yaliyokokotwa na farasi maridadi kwa kipindi kile. Hawa wake za mfalme walikuwa matawi ya juu kiasi kwamba wanaume na walinzi wao walikuwa wanahasiwa (castrated) ili pasiwepo uwezekana wa kuwaingilia. Sasa cha kushangaza huyo Malikia baada ya kuletewa ujumbe alijibu na kusema "rudi zenu, mwambie mfalme kuwa siji". Kumbuka Malikia ki_protokali "akisema, kasema" hivyo huo (hao) wanaume (wajumbe) wakageuza na kwenda kumpa habari mfalme. Kilichoendelea utamalizia. Hila point yangu ni kuwa huyu mwanamke alikuwa na JEURI ya kiwango cha SGR. Sasa wanaume wa kizazi kipya kukaa kizembe na mwanamke na mambo yao ya harakati na usawa wa kijinsia ndo kunapelekea ndoa nyingi kuvunjika na mwisho wa siku ni utitiri wa Masingle mother na watoto wa mitaani. Mwanamke inabidi hasiwe na haki kabisa ndani ya nyumba. Haki yake ibaki kutimiziwa yale mambo ya msingi kama malazi, chakula, mavazi, kuzaa na kulea watoto. Katika mfumo wowote hata kama ni mbaya lakini kuna kitu kizuri ambacho wanakimudu, kwa mfano mfumo wa kiislamu wa "sharia" naukubali kwasababu unamuhadabisha mwanamke katika misingi ya kumuweka katika nafasi yake! Mimi ni muumini wa Robert Heriel Mtibeli naomba hupokee salamu zangu. Nakaribisha povu kutoka kwa wanawake vichwa maji wasiokuwa na adabu ya kuwatii waume zao! Karibu!