Mwanamke ukiona unatongozwa basi umedharaulika na sio unapendwa

Mwanamke ukiona unatongozwa basi umedharaulika na sio unapendwa

Wee n domo zege, kwahiyo hapa unatafuta huruma ya wadada wakutunuku mahusiano pasipo kutumia ushawishi. Pole sana lol
 
chaputa kwenye ubora wao.... just joking.....
...you might be right but I think the joke is right too.....
 
Kwanza unaelewa maana ya kitongoza unapozungumzia mapenzi?

Kitongoza ni kitendo cha kuomba ridhaa ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu flan kina husisha ushawishi. Kwa ninavyo jua mm.
Kwaiyo hakunaga cha automatic wala manually hapa. Tambua atausipo mtamkia ila ukawa unamuonesha vitendo tu ili ajiingize mwenyewe mtegoni napo nikutongoza pia.
Tofauti ni kuwa tunatofautiana dhamira na malengo wakati wa utongozaji.
 
Hii post mbovu kufungia mwezi wa 7. Kama ndio hawa wasomi wa section B,tunaenda mlama
 
We jamaa si ulisema mkenya?
Asa kumbe huko kwenu utaratibu upo hivi?.....Hamtongozani mnaparuana tu....
Huku bongo imekula kwako, hutopata kitu ukisubiri wakuonee huruma.
 
Back
Top Bottom