MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
- Thread starter
- #41
Bado hujakua, keep goingBila mkuyenge barabara haelewi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujakua, keep goingBila mkuyenge barabara haelewi.
😀😀Bado hujakua, keep going
Wanaume wapare,waha na watanga huwa wabinafsi hawadumii wapenzi wao utasikia tu umependeza babe,
Wanaume wote wanatokea Kanda ya ziwa hawa ndo wanaume
WANAUME WOTE MNAO TOKEA KANDA YA ZIWAAAAAA NAWASALIMIAAA SALAMA ALEKO,MNAPENDWA NA MIMI
Wanaume ambao hawaudumii wapenzi wao hawana pesa. Lakini pia kwa mwanamke ukiona mchumba wako hakuhudumii katika kipindi cha mahusiano yenu jua kwenye ndoa utapauka sana hutoamini.!!Inasadikika upendo wa kweli ni kujari,. Kabla pingu za ndoa hazijakufunga jiulize mkeo angekuwa na wewe kama ungelikuwa chini.. Poor Brain