MFALME WETU JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 4,071 Reaction score 10,028 May 18, 2024 Thread starter #41 Hakuna anayejali said: Bila mkuyenge barabara haelewi. Click to expand... Bado hujakua, keep going
Hakuna anayejali JF-Expert Member Joined Jun 3, 2023 Posts 418 Reaction score 526 May 18, 2024 #42 MFALME WETU said: Bado hujakua, keep going Click to expand... 😀😀
mamamzungu JF-Expert Member Joined Nov 17, 2019 Posts 2,554 Reaction score 4,271 May 18, 2024 #43 Kuna kifo ndugu usitake watu wapauke.. unakaa tu huna source yoyote ya kukuingizia kipato ee mwanamke usifanye hii kitu utajuta Hapa mimi nimejifunza usimtegemee mtu kwa kila kitu pambana upate chako
Kuna kifo ndugu usitake watu wapauke.. unakaa tu huna source yoyote ya kukuingizia kipato ee mwanamke usifanye hii kitu utajuta Hapa mimi nimejifunza usimtegemee mtu kwa kila kitu pambana upate chako
mamamzungu JF-Expert Member Joined Nov 17, 2019 Posts 2,554 Reaction score 4,271 May 18, 2024 #44 Mwanaumke wa mithali said: Wanaume wapare,waha na watanga huwa wabinafsi hawadumii wapenzi wao utasikia tu umependeza babe, Wanaume wote wanatokea Kanda ya ziwa hawa ndo wanaume WANAUME WOTE MNAO TOKEA KANDA YA ZIWAAAAAA NAWASALIMIAAA SALAMA ALEKO,MNAPENDWA NA MIMI Click to expand... Siku hizi na waha wapo kaskazini Muha akikupenda atakuhudumia tena sana bye [emoji112]
Mwanaumke wa mithali said: Wanaume wapare,waha na watanga huwa wabinafsi hawadumii wapenzi wao utasikia tu umependeza babe, Wanaume wote wanatokea Kanda ya ziwa hawa ndo wanaume WANAUME WOTE MNAO TOKEA KANDA YA ZIWAAAAAA NAWASALIMIAAA SALAMA ALEKO,MNAPENDWA NA MIMI Click to expand... Siku hizi na waha wapo kaskazini Muha akikupenda atakuhudumia tena sana bye [emoji112]
MFALME WETU JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 4,071 Reaction score 10,028 May 18, 2024 Thread starter #45 Warld said: Inasadikika upendo wa kweli ni kujari,. Kabla pingu za ndoa hazijakufunga jiulize mkeo angekuwa na wewe kama ungelikuwa chini.. Poor Brain Click to expand... Wanaume ambao hawaudumii wapenzi wao hawana pesa. Lakini pia kwa mwanamke ukiona mchumba wako hakuhudumii katika kipindi cha mahusiano yenu jua kwenye ndoa utapauka sana hutoamini.!!
Warld said: Inasadikika upendo wa kweli ni kujari,. Kabla pingu za ndoa hazijakufunga jiulize mkeo angekuwa na wewe kama ungelikuwa chini.. Poor Brain Click to expand... Wanaume ambao hawaudumii wapenzi wao hawana pesa. Lakini pia kwa mwanamke ukiona mchumba wako hakuhudumii katika kipindi cha mahusiano yenu jua kwenye ndoa utapauka sana hutoamini.!!