Kwani Mzee Abdul sio babayake diamond?Tamaaa ya Hela tu mkuu inawafanya wamnyime haki mtoto kwa kumpa baba feki.Harafu ukifulia ama mtoto akikua ndo anakuja kusema ukweli ww ulie lea mtoto unabaki na maumivu makali ..mfano hai mzee abdul baba yake daimondi.Mama haoni hata huruma ana injoi tu mzee anaumia ndani kwa ndani.