Ashakum si matusi
Kuna mwaka 1974 au 1975 nilipanda treni kutokea Itigi kwenda Dar, daraja la tatu, **** mwanamke alikuwa ananuka ajabu
Na asiyo kwamba alikuwa mchafu wa nguo, la hasha, sijui harufu gani ile, nimeisikia mara chache kwa umri wangu húu, unaweza kutapika!
Afadhali tulipata Dodoma maana alishuka, lakini sehemu aliyokaa ilibaki na ile harufu kwa dakika kadhaa.
Eeee siyo harufu ya hedhi. Sijui hadi leo ni harufu ya nini!
Na wala haikuwa harufu ya dawa za kienyeji ama mafusho ya tiba za kijini maana miaka kadhaa baadaye niliisikia tena harufu kama ile kwa mwanamke mwingine kwenye UDA.