Mwanamke unakubalije kunuka kikwapa? Kikwapa ni alama ya uchafu

Mwanamke unakubalije kunuka kikwapa? Kikwapa ni alama ya uchafu

Kwapa kama kwapa,Sasa tofauti ya mwanamke na mwanaume nini? kunuka kwapa kuna raha yake bwana
 
Haya maneno mawili ya mwisho umemaanisha nini?

Jamanii ee yote na yote kunuka kwapa ni ufala kabisa maana njia za kuzuia kwapa ni nyingi mno. Binafsi nachukia mnoo harufu ya jasho kutoka kwa mtu yaani natamani kutapikaa, mfano unaweza kuwa kwenye daradara mmejaa balaa afu harufu itokee unaweza tamani utoe kichwa nje ya gari.

Bhana niliwahi kuwa na Binti mmoja nae ni pic balaa yaan alikuwa ananuka kwapa hvo mpaka nlimkimbia mbalii.
Alafu Kuna watu wanaonuka midomo na wasio oga ni fire jaman
 
Huwa nashangaa sana mwanamke anaenuka kikwapa. Kwa kifupi kikwapa ni uchafu na mwanamke anaenuka kikwapa ni mchafu.

Kuna njia nyingi za kuzuia harufu ya kwapa. Kupaka deodorant ni njia easy kabisa ya kuzia jasho baya la kwapa. Kuna deodorant mpaka za elfu 5. Pia wanasema kuna njia za asili.

Ewe mwanamke hata ukiwa mrembo namna gani ila ukinuka kikwapa thamani yako yote inaisha.

Wanawake mnaonuka vikwapa ni wanawake wachafu.
kikwapa ni ugonjwa, ni bacteria wanajizalisha eneo husika kuoza na kutoa harufu mbaya - hii hata uoge mara 8 na utumie perfume zote unazozijua.

Pia kuna wale wanaonuka miguu, akivua kiatu nyumba nzima utafikiri kuna mzoga wa siku kadhaa umemwagwa.

Cha kufanya fika hospitali utasaidiwa matibabu, same wengine kunuka midomo. Huo si ugonjwa usimwache mtu sababu ya kikwapa ana kunuka mdomo na miguu - msaidie mpeleke hosp dawa zipo.
 
Basi usitumie fake products ingia gharama ununue vitu og usinuke kikwapa mkuu.

Kama una kikwapa cha asili kuoga pekee haitoshi utanuka tu...
Kuna watu hata ajitahidi vipi, Huwa hakitoki. Tunaziita emission, Kila mwanadamu anazo ila wengine ziko very strong.
 
Back
Top Bottom