medyh99
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 206
- 224
Jamanii ee yote na yote kunuka kwapa ni ufala kabisa maana njia za kuzuia kwapa ni nyingi mno. Binafsi nachukia mnoo harufu ya jasho kutoka kwa mtu yaani natamani kutapikaa, mfano unaweza kuwa kwenye daradara mmejaa balaa afu harufu itokee unaweza tamani utoe kichwa nje ya gari.Malimao bei ndogo sana
Bhana niliwahi kuwa na Binti mmoja nae ni pic balaa yaan alikuwa ananuka kwapa hvo mpaka nlimkimbia mbalii.
Alafu Kuna watu wanaonuka midomo na wasio oga ni fire jaman