Mwanamke unakubalije kunuka kikwapa? Kikwapa ni alama ya uchafu

Kuna msela humu JF alisemaga yeye anaenjoy mwanamke anaenuka jasho halafu na nywele za kwapa asinyoe yaani zile nywele hua zinageuka mpk rangi, anakwambia akiona vile stimu zinapanda na ananyonya kwapa hivyo hivyo.
 
Ashakum si matusi

Kuna mwaka 1974 au 1975 nilipanda treni kutokea Itigi kwenda Dar, daraja la tatu, **** mwanamke alikuwa ananuka ajabu

Na asiyo kwamba alikuwa mchafu wa nguo, la hasha, sijui harufu gani ile, nimeisikia mara chache kwa umri wangu húu, unaweza kutapika!

Afadhali tulipata Dodoma maana alishuka, lakini sehemu aliyokaa ilibaki na ile harufu kwa dakika kadhaa.

Eeee siyo harufu ya hedhi. Sijui hadi leo ni harufu ya nini!

Na wala haikuwa harufu ya dawa za kienyeji ama mafusho ya tiba za kijini maana miaka kadhaa baadaye niliisikia tena harufu kama ile kwa mwanamke mwingine kwenye UDA.
 
Sio mwanamke tu, harufu ya kikwapa haipendezi kwa jinsia zote, binafsi mwanaume mwenye kikwapa kama beberu simpendi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli we mbwa dume [emoji38][emoji38]
 
Sio wote wanatumia hayo matakataka, wengine wana aleji nayo, hata harufu mtu anapata mafua na kichwa. Isue ni usafi wa mazingira ambayo yana hewa ya kutosha,
Mnuka kikwapa akioga akitembea robo saa akitoka jasho lazima anuke kikwapa dawa ya mnuka kikwapa ni kuoga mara 3 na kutumia Deodorant

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mnuka kikwapa akioga akitembea robo saa akitoka jasho lazima anuke kikwapa dawa ya mnuka kikwapa ni kuoga mara 3 na kutumia Deodorant

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Huyo mdau hataki kukubali hali halisi, lazima uzuie harufu ya kwapa kwa deodorant coz hata perfume haikati jasho la kwapa inatakiwa utangulize deodorant
 
Kuna msela humu JF alisemaga yeye anaenjoy mwanamke anaenuka jasho halafu na nywele za kwapa asinyoe yaani zile nywele hua zinageuka mpk rangi, anakwambia akiona vile stimu zinapanda na ananyonya kwapa hivyo hivyo.
Are you serious [emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji2957][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Kunuka kikwapa ni nishai iwe kwa mwanamke au mwanaume
 
Kama una tatizo la harufu mbaya kwenye kwapa

Paka limao kwenye kwapa mara baada ya kuoga, baada ya hapo pigilia pamba zako then nenda kwenye mishe zako.

Harufu yote inakwisha kwa siku kadhaa, ukipaka cku ya kwanza unaweza kukaa ata siku nne bila kutoa harufu mbaya

Hii ni njia asili isiyo na madhara lakini pia naamini upatikanaji na gharama za malimao kwa maeneo mengi ni mzuri kulinganisha na deodorant

NB: Usipake limao mara baada ya kunyoa kwapa, utatamani ulikimbia kwapa lako kwa maumivu utajayoyasikia
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Unastahili Shikamoo yangu
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji3526][emoji3526]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano wa hizo deodorant
 
Malimao bei ndogo sana
 
Dawa ya kikwapa ni limao ukipaka tu hutosikia ile harufu tena..unakuwa natural
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…