Mwanamke unakubalije kunuka kikwapa? Kikwapa ni alama ya uchafu

Malimao bei ndogo sana
Jamanii ee yote na yote kunuka kwapa ni ufala kabisa maana njia za kuzuia kwapa ni nyingi mno. Binafsi nachukia mnoo harufu ya jasho kutoka kwa mtu yaani natamani kutapikaa, mfano unaweza kuwa kwenye daradara mmejaa balaa afu harufu itokee unaweza tamani utoe kichwa nje ya gari.

Bhana niliwahi kuwa na Binti mmoja nae ni pic balaa yaan alikuwa ananuka kwapa hvo mpaka nlimkimbia mbalii.
Alafu Kuna watu wanaonuka midomo na wasio oga ni fire jaman
 
Yani wa namna hyo wanalinga Acha kabisa
 
Vipi kwa wanaume .maana vyao ni zaidi .hao ni wasafi?
 
Nimesoma kwa umakini maana hata mm ni muanga Ila naomba kujuwa nin nitumie ili ninukie
 
Wengine stimu zetu zinapanda na mzee mborondo anasimama dede tukisikia maarufu hayo,sasa sijui tunasaidiwaje hapo
 
Kuna dada anaitwa lucy yeye ananuka muda wote. Alikuwa ananuka sana ofisini pale maeneo ya mikocheni kwa warioba.
 
Ukiona kofia chafu basi jua msuli hautamaniki.

Kama kwapa linatema basi kwa bibi ni weapon of mass destruction.
 
Bora kikwapa kwa mwanamke kuliko kunuka mdomo na uchi….
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna dada anaitwa lucy yeye ananuka muda wote. Alikuwa ananuka sana ofisini pale maeneo ya mikocheni kwa warioba.
Unamsaidiaje, kuondoa tatizo linalomkabili???, Au msaada wako kwake ni kuja kumtangaza huku tena kwa kutaja jina lake?
 
Kwanza na hii ishu ya "ukame (hapa najitoa ufahamu)"....sijui hizo uchi zinatema gesi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…