Mwanamke unakubalije kunuka kikwapa? Kikwapa ni alama ya uchafu

Kwapa kama kwapa,Sasa tofauti ya mwanamke na mwanaume nini? kunuka kwapa kuna raha yake bwana
 
Haya maneno mawili ya mwisho umemaanisha nini?

 
kikwapa ni ugonjwa, ni bacteria wanajizalisha eneo husika kuoza na kutoa harufu mbaya - hii hata uoge mara 8 na utumie perfume zote unazozijua.

Pia kuna wale wanaonuka miguu, akivua kiatu nyumba nzima utafikiri kuna mzoga wa siku kadhaa umemwagwa.

Cha kufanya fika hospitali utasaidiwa matibabu, same wengine kunuka midomo. Huo si ugonjwa usimwache mtu sababu ya kikwapa ana kunuka mdomo na miguu - msaidie mpeleke hosp dawa zipo.
 
Basi usitumie fake products ingia gharama ununue vitu og usinuke kikwapa mkuu.

Kama una kikwapa cha asili kuoga pekee haitoshi utanuka tu...
Kuna watu hata ajitahidi vipi, Huwa hakitoki. Tunaziita emission, Kila mwanadamu anazo ila wengine ziko very strong.
 
Kuna watu hata ajitahidi vipi, Huwa hakitoki. Tunaziita emission, Kila mwanadamu anazo ila wengine ziko very strong.
Ukiwa nae kwa usafir mrefu unaeza toa kchwa nje ya dirisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…