Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Mwanamke anayeomba pesa kwa jamaa ake ni kosa kubwa
Unajua maana ya kuitwa mwanaume ama Baba?!.....

Timiza wajibu wako....acha kulia lia!

Hata Mama Samia na uraisi wake wote, bado kodi ya meza Inahusika kwa mumewe....huo ndio wajibu wa mwanaume....na hapa ndipo heshima ya mwanaume ilipo

Hivyo vijihela vya Salon ni vitu vidogo sana Kwa mwanaume anaetambua wajibu wake kama mwanaume....

Naandika kwa niaba ya wanaume wote tunaotambua wajibu wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…