Mwanamke unapewa kila kitu macho juu juu ya nini?

Yaani wee kwa akili zako utatembea na mke wa mtu pasipo kumla tigo...utakuwa mwanaume mjinga hajawai tokea. Mke wa mtu sharti ule tope
Kuna tafiti ilifanyika Marekani, ilionesha wanawake walioolewa wana uwezekano mkubwa wa kutoa tigo kuliko ambao hawajaolewa sijui kwanini inakuwaga ivyo mzabzab
 
Ebu nipe link ga huo utafiti. Je ilisema uwezekano kitoa tigo kwa waume zao au michepuko yao?
 
Hawa viumbe shida sana ni vile tu kuoa utamadun ila bila hvyo hichi kizazi chasasa ilibd sio chakuoa unapga tu unatulia
 
Una uhakika tunapewa kila kitu? Hivyo ulivyovijumlisha kuwa ni kila kitu umehesabu nini na nini?
Sio kila kitu mnapewa, mleta mada hajui tu.Kuna vitu huwa mnataka na wanaume wachache ndo hutoa na ni kwa siri sanaaaa hutolewa na ni vitu adimu

Kama huku nilipo kuna shost ananiombaga kitu flani aaah yani amechanganyikiwaaa vile nampa!
 
Mwanamke hajawahi kuekeweka anataka nini kwenye ndoa/ mahusiano.

Nakumbuka utawala wa Raisi Jpm kuna rafiki yangu kipenzi sana, alipata bahati ya kuajiriwa usalama wa Taifa hivyo alikuwa akisafiri sana na msafara wa rais kabla ya rais kwenda sehemu yeyote wao walikuwa wanatangulia kwanza.

Wenyewe wanasema kusafisha njia, sasa rafiki yangu huyu ni mwanandoa ameowa muda tu ila bado hawajabahatika kupata mtoto.

Jamaa anampenda sana mke wake anatunza kweli kweli licha ya kutopata mtoto kwa muda mrefu, siku moja akiwa katika safari zake za kikazi huko mkoani mkewe pigia simu shemu kuna tatizo hapa nyumbani nakuomba tafadhali.

Nikasema poa nikitoka kwenye mishe zangu nitapitia, baada ya kutoka kwenye mishe zangu nikaunga moja kwa mpaka kwao maeneo ya makumbusho pale kuna nyumba zao bwana.

Nikafika pale mida ya saa 12 jioni, walikuwa wakiishi wao wawili tu hivyo nilimkuta shemu peke yake sikuwa na shaka kwa kuwa tulikuwa tukiheshimiana sana.

Baada ya kufika na kupiga stori mbili tatu, ikabidi nimuulize shemu hembu niambie kuna shida gani uliyoniitia? Akabakia kucheka tu ooohh unajua shemu nimeona nipo peke yangu nikaona uje unipe kampani.

Basi bhana muda ukaenda saa mbili hii hapa, pale ni kama nyumbani wakati yeye yupo chumbani nikasema ngoja niende jikoni nipate japo msosi.

Wakati nikiwa jikoni aiseeeh kwenye maisha yangu sikuwahi kutetemeka kama hii siku, bi dada kaenda kujipara kaja ananukia kaja na kanga tu mbele ya na kuanza kunishika shika na kuniambia maneno ya kimahaba.

Shemu ni muda sasa nimekuwa nikiteseka juu yako, aiseeeh, mapigo ya moyo yalienda kasi, tupo wawili gorofa ya pili pametulia tuli, shemu mwenyewe bomba hatari, nilisema hapana shemu haiwezekani nilitoka nduki na kuondoka zangu.

Kuanzia siku hiyo mpaka leo hanisalimii mimi huwa namsalimia pindi tunapokutana ila yeye huwa haitikii, rafiki yangu sijawahi kumwambia chochote hadi leo hii. Aiseeeh nimeowa ila wanawake 🙌🙌🙌🙌🙌
Bora hata uliikimbia zinaa, Allah akimbize mbali shari zote za dunia kama ulivyoikimbia dhambi hiyo
 
Kwa hii story ilivyo kama ingelikuwa ni mimi huko jikoni kudadeki zake shemeji angejuta kunifahamu😂
 
Mkuu usijekunaswa kijinga kiasi hiki. Hujui jamaa huenda aliweka camera ya siri au mkewe amekutega ili akuumbue kwa rafiki yako.

Bora ujikaze umle hotelini kulikoni kwake. Hata hotelini bado sikushauri...achana demu wa rafiki yako mkuu akijua jamaa anakuua kijinga
 
Siwezi kwenda kabisa kwa shemeji yangu 😀😀😀 huwa tuna mipaka mikubwa sana
 
Wewe kwa nini hukumgegeda huyo shemeji? Sii mbususus kaileta mwenyewe ulitakiwa umpatie alichotaka
So ulitaka ammege mke wa rafiki yake?basi wewe ufahi kuwa rafiki wa mtu sometimes inabidi uzuie tamaa zako za mwili
 
Dah! Umenikumbusha mwaka 2007, mzee wetu mmoja alioa familia ya waziri mkuu mstaafu,akaacha familia akahamia kwa nyumba ndogo kadada kabichi.Mzee alikuwa state na mke anafanya ofisi moja Dar es Salaam.Siku mzee alijua mchepuko unaleta jamaa pale ndani alimramba risasi mke na kujimalizia za kichwa.Tulienda kuaga Muhimbili, coffin la mzee kulia kushoto ni mchepuko.Ilikuwa mbaya sana.
 
Mwanamke hajawahi kuekeweka anataka nini kwenye ndoa/ mahusiano.

Nakumbuka utawala wa Raisi Jpm kuna rafiki yangu kipenzi sana, alipata bahati ya kuajiriwa usalama wa Taifa hivyo alikuwa akisafiri sana na msafara wa rais kabla ya rais kwenda sehemu yeyote wao walikuwa wanatangulia kwanza.

Wenyewe wanasema kusafisha njia, sasa rafiki yangu huyu ni mwanandoa ameowa muda tu ila bado hawajabahatika kupata mtoto.

Jamaa anampenda sana mke wake anatunza kweli kweli licha ya kutopata mtoto kwa muda mrefu, siku moja akiwa katika safari zake za kikazi huko mkoani mkewe pigia simu shemu kuna tatizo hapa nyumbani nakuomba tafadhali.

Nikasema poa nikitoka kwenye mishe zangu nitapitia, baada ya kutoka kwenye mishe zangu nikaunga moja kwa mpaka kwao maeneo ya makumbusho pale kuna nyumba zao bwana.

Nikafika pale mida ya saa 12 jioni, walikuwa wakiishi wao wawili tu hivyo nilimkuta shemu peke yake sikuwa na shaka kwa kuwa tulikuwa tukiheshimiana sana.

Baada ya kufika na kupiga stori mbili tatu, ikabidi nimuulize shemu hembu niambie kuna shida gani uliyoniitia? Akabakia kucheka tu ooohh unajua shemu nimeona nipo peke yangu nikaona uje unipe kampani.

Basi bhana muda ukaenda saa mbili hii hapa, pale ni kama nyumbani wakati yeye yupo chumbani nikasema ngoja niende jikoni nipate japo msosi.

Wakati nikiwa jikoni aiseeeh kwenye maisha yangu sikuwahi kutetemeka kama hii siku, bi dada kaenda kujipara kaja ananukia kaja na kanga tu mbele ya na kuanza kunishika shika na kuniambia maneno ya kimahaba.

Shemu ni muda sasa nimekuwa nikiteseka juu yako, aiseeeh, mapigo ya moyo yalienda kasi, tupo wawili gorofa ya pili pametulia tuli, shemu mwenyewe bomba hatari, nilisema hapana shemu haiwezekani nilitoka nduki na kuondoka zangu.

Kuanzia siku hiyo mpaka leo hanisalimii mimi huwa namsalimia pindi tunapokutana ila yeye huwa haitikii, rafiki yangu sijawahi kumwambia chochote hadi leo hii. Aiseeeh nimeowa ila wanawake [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kisa chako kinaendan kidogo na cha mshkaji wangu yeye alikuwa anapenda sana kwenda kwa mshkaji ambae ni kipepeo mweusi kumbe jamaa nyumba nzima katega camera sema siku ya kunaswa alidakwa mtu mwengine yeye hakuwa mhusika.

Maana jamaa alitega camera nyumba nzima na simu ya mkewe alikuwa anajua yuko wapi,anampigia nani,na anachat na nani iwe whatsapp mpaka mesage za kawaida kilichomkuta yule mwizi wa mke wa jamaa mpka leo hakusema alichofanyiwa maana walisepa nae akaja kurudi siku ya 4 na alivyorudi Tanga mpka leo
 
Una uhakika tunapewa kila kitu? Hivyo ulivyovijumlisha kuwa ni kila kitu umehesabu nini na nini?
...dada macho juu juu kama konokono ya nini ??? jibu kwanza swali ndo uulize swali mbona unataka kukimbia na mpira wakati ndio kwanza watu wanaingia uwanjani.
 
Kisa chako kinaendan kidogo na cha mshkaji wangu yeye alikuwa anapenda sana kwenda kwa mshkaji ambae ni kipepeo mweusi kumbe jamaa nyumba nzima katega camera sema siku ya kunaswa alidakwa mtu mwengine yeye hakuwa mhusika.

Maana jamaa alitega camera nyumba nzima na simu ya mkewe alikuwa anajua yuko wapi,anampigia nani,na anachat na nani iwe whatsapp mpaka mesage za kawaida kilichomkuta yule mwizi wa mke wa jamaa mpka leo hakusema alichofanyiwa maana walisepa nae akaja kurudi siku ya 4 na alivyorudi Tanga mpka leo
...usimtishe mke akishaliwa kaliwa hata umfanyeje mlaji haimbadilishii status ya uliwaji wa mke wako, kijana kaonesha ushujaa na kukuheshimu kwa hiyo kama scenario hii aliyotuhadithia sio tangawizi basi kijana anachostahili ni pongezi ingawa naye anaonesha ni mwenzako wa kitengo na mnajijua wenyewe hizo nyumba zenu.!
 
Back
Top Bottom