green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Kwani pamekua msikitini au kanisani hapoKuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.
Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.
Tutafanyia kwako tu
tatizo maamuzi.Kwani pamekua msikitini au kanisani hapo
Kama hakupi hata mia. Huyo hata ndani humkaribishi
Unaonekana unakiburi sana.Ni maamuzi tu
Au ni masherti ya mganga nini!!!??Kodi unalipa na hurudishiwi [emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaa huo ujinga yaani kwan kuna nin kwako utapanuliwa tu hapo hapo kwakoKuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.
Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.
Tutafanyia kwako tu
Yaani nyie ndio huwa mnaachwa mchana kweupee, kumkatalia mwanaume anaekugharamia kusexnae home kwako kunamfanya asikuamini maana atahisi kuna kidume mwingine yupo unaogopa asijewakuta mnaduuMimi huo ni msimamo wangu kabisa. Hutaki basi,
Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.
Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.
Tutafanyia kwako tu
Hapo umenena mama! Embu njoo pm tuyajenge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo unitoe
hapo umenena miss, ukiona mwanamke anakukataza kuenda kwake jua mpo wengiSasa kibaya nini hapo kama ni mpenzi wako?
Kama ni mtu wa kutulia kwenye uhusiano mmoja sioni mbaya kabisa kusex kwangu! Sipendi mambo ya gesti na kufanyia kwake kila siku kutaniboa... Na sometimes nipo huru zaidi nikiwa kwangu!
kumpa mwanaume hela eti mnasaidiana ni kujipendekeza tu. MUME ndo ninaweza kumsaidia huku nikijua ni mume wanguTatizo una crame maisha..ninyi ndo wale wale wanawake wanaosema siwezi mpa hata shilingi mia mwanaume yeye ndo anipe. MAISHA HAYAKARIRIWI NA MAPENZI PIA..UJUE KUNA KUPANDA NAKUSHUKA KWA KILA JAMBO.