green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Kwani pamekua msikitini au kanisani hapoKuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.
Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.
Tutafanyia kwako tu