Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Dah. Hii mbaya sana. Ndio maana wataalamu wa mahusiano wanasema "MARRY YOUR BEST FRIEND". Ukioa ama kuolewa na mtu mliyeshibana na mmejuana na kupendana kwa muda mrefu kuna uwezekano mkubwa sana wa kudumu katika mahusiano.
Inatokea sana.....nina wifi yangu aliolewa na mwanaume hampendi mapenzi walikuwa wakishiriki kwa kuwa tu ni mume wake, miaka 15 kwenye ndoa na watoto juu ila saivi anasema ameshindwa anataka waachane
 
mh
 
Sasa hapa unazungumzia assumption babu.siyo wote walioolewa wametoka kwenye dhiki au hawana vipato. Halafu huyo anaewadanganya mwanamke akizaa anachakaa nani? Vijana nawafundisha sasa utamu wa mwanamke unaanza pale anapoanza kuzaa kama mlikua hamjui.
Daaah itakuwa kweli mana papuchi ya alie zaa ni tamu balaa
 
Huwa sishangai kuona mwanamke analeta mgomo SKU ya ndoa tena kanisani,hawa watu unaweza ukamforce ktu na akakubali kwa asilimia chache afu we ukahis kaeleweka kumbe la!
 
My dear kuna mtu alishawahi kukufundisha kuwapenda wazazi, watoto wako au ndugu zako? Tulijikuta tu tunawapenda since we found them there for us. Muda tunaoutumia pamoja, vitu tunavyofanya pamoja, wanavyotujali automatically tunajikuta na sisi tunawapenda na kuwajali na tunatengeneza bond ambayo si rahisi kuvunjika. Ndiyo maana utagombana nao weee, mtanuniana but still mtamend your broken relationship. Anza kumjali mumeo, mchukulie kama ndo nusu yako, furaha yako; fanya vitu vitakavyompa furaha. Yani anza kuona kuwa huyo ndo mumeo, na hiyo ndo ndoa yako na hutokuwa na ndoa nyingine, na huna option nyingine ila kuona ndoa yako (including wewe mwenyewe), mna furaha.

Ungekuwa kwenye dating maybe tungekushauri muachane, ila ndo mmeshakuwa familia tayari. You were very selfish kuingia ndoani na huyo mwanaume now clear your conscience, mfanye mumeo kama ndo "project" yako mpya unayoianzisha ukiwa na "goal" ya kutengeneza ndoa imara yenye furaha. Put in your all; sacrifice everything you can to make your marriage enjoyable.

Ndugu, sijui kama unajua how blessed you are to have such kind of a man; He is such a rare gem (inawezekana unajua ila kwa sababu upo naye, unaona kama kitu cha kawaida tu). Ukikutana na "waathirika wa ndoa", utalia na kujuta kwa nini unamfanyia hivyo mumeo. Afu wanaume wa hivyo siku akigundua jinsi unavyomuwazia ndugu you will surely regret. Atakavyokubadilikia, hutoamini kamwe na inawezekana isiwe rahisi sana kuja kurudisha mambo kama yalivyokuwa before . You have bagged yourself a good man; usiwe mwanamke mpumbavu; keep him oooh keep him.

Amua kwamba unataka kuwa na ndoa ya furaha. Muaccept/embrace mumeo. I know kuna wishes/matarajio fulani kwenye maisha lakini hadi leo hujayapata, je umeacha kuenjoy maisha au umesema haya ndo maisha yangu na nitayaishi to the fullest? Amua kuenjoy your marriage mama. Ukija makanisani wenzio wanavyoomba hata waume zao waugue angalau tu waweze kupata muda wa kukaa nao......! Amua tu mama.

Btw, huko moyoni mwako hamna mtu/ex ambaye umembeba and possibly ndo anakufanya unashindwa kureciprocate upendo wa mumeo? Leave everything behind for the sake of your marriage.
 
Nashukuru Mungu nlikwepa huo mtego wa kuolew na mtu nisiye na hisia nae ,nliamua kuwa na subira hadi nlipompata tunae endana tena nlimpata katika namna ambayo haikua rahisi kuamini... subira ni ibada...pole bibie
 
Seriously, huwa anapiga picha na wadada wazuri wazuri anaokutana nao kwenye kazi zake sijawahi hata kushtuka, halafu kazi yake inamweka busy hatari inaweza kupita miezi hatujawasiliana sijawahi hata kummisi
Anafanya kazi gani kwanza kama hutojali na mm nipate pa kuanzia?
 
huyu tumkutanishe na Heaven Sent huenda akawa msaada kwake
At this stage, me naona hana option. Afike stage aamue tu kuwa "from today I will enjoy my man". Inawezekana ana wants nyingine, ila this is a kind of a man that she needs. Kwenye maisha ukikosa unachokitaka basi unaenjoy tu unachokipata. A lesson to all single ladies out there, ukishindwa kujifunza kumpenda mtu huku nje, extend muda wa kufunga ndoa hadi uanze kumpenda; ukishindwa kabisa, muache tu. Usimzibie mtu riziki ya kuwa na mtu watakayependana naye, kwa wewe kufunga naye ndoa while humpendi kabisa.

Afu maybe anamchukulia mumewe kawaida tu kwa sababu si ni wa kwake, anaye ndani; ngoja siku ajue kuna mwanamke mwingine ndo atajua anampendaje mumewe...... Kwa stage aliyofikia ajue tu kutofautisha Needs and Wants
Dota Heaven Sent hebu kuja mpenzi utoe tiba.
 
Kwa mwanamke kawaida due to Biological, but mwanaume haitadumu
 
Thank you
Thank you
Thank you !!moyo wangu umejiskia kuinuka mno baada ya kusoma ushauri wako. Help me Oh God, to see how blessed I am, teach me to reciprocate my husband's love.
You are truly heaven sent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…