Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Na hii inawakuta wanawake wengi sana waliopo ktk ndoa.

Mie ilibaki kidooooogo niolewe kabisa, aisee nafsi ilikuwa ikinisuta vibaya mnoo, mwisho ilibidi tu niwe muwazi. Alinichukia kwa muda ila baadae akanielewa.

Sio wote huwa wanaweza kujinasua haswa unapokuta mwanaume anakupenda na kukujali kwelikweli. Huwa najiuliza wale wanaojifunza kupenda wanawezaje?!!!!!
Una bahati..maana hayo ni mateso makubwa
 
😀😀nimecheka kama mazuri.Ingekuwa enzi hizi ingesemekana huyo mbaba alikuwa danga lako.Japo ulikuwa mdogo,ila ulimvuruga ulipomuacha,sishangai kusikia ameachana/kutengana na aliyemuoa.Chanzo...?Bado hajapata wakuziba pengo uliloliacha.

😂😂😂 kudanga muhimu😂😂😂 alafu tumejenga karibu karibu..i.mean dingi alijenga mtaa m1 na yy.. mara nying nikienda hua sikai mitaa hyo nimeonana naye mara 2 ananiulizaga hv kweli umeolewa?😣 hahahaha... yule jamaa hapana.. analea wanae tu nw.. ataoa tu nahis atakuwa kwenye 50's nw au anakaribia 50..ila ni very very smart!
 
Kuna wanawake wajinga sana tena sana hasa wewe your too stupid enough
 
😂😂😂 kudanga muhimu😂😂😂 alafu tumejenga karibu karibu..i.mean dingi alijenga mtaa m1 na yy.. mara nying nikienda hua sikai mitaa hyo nimeonana naye mara 2 ananiulizaga hv kweli umeolewa?😣 hahahaha... yule jamaa hapana.. analea wanae tu nw.. ataoa tu nahis atakuwa kwenye 50's nw au anakaribia 50..ila ni very very smart!
😀😁kudanga muhimu?Hata sasa?😂.Ila jamaa anastahili tuzo ya Nobel.Ulimuumiza sana.Kwaniaba yake,leo nayabeba maumivu aliyojisikia au anayoyasikia sasa😉
 
😂😂hv upo serious best?sasa bambii na mm nan anaifadhari?humuon mtoa mada anaumia hisia zake ..? alafu unadhan nil9mwacha kwa mbwembwe?hapana.. nilianza kukataa outing zetu najifanya nina paper.. ila siku akanikuta bar 1 maarufu na huyu" future husband"😂 nilijisikia vby.. bt hakuna na jinsi coz asingesoma yule alikua ana uwezo wa kunizaa.. alikua mkubwa kwangu sana bwana 😐..
basi kwa niaba yake NAOMBA UNISAMEHE! niwie radhi mkuu.. bas mm najiona sikumpotezea muda
 
😁😁 my best maumivu yangu kwa niaba yake yako pale pale.Uliacha mahusiano yakanoga kabisa halafu moyo wake ukawekeza kwako.Kuzaliwa mwanaume ni mateso,huu ni mfano halisi
 
Back
Top Bottom