Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Ma dear, tunaishi mara moja katika dunia hii.Kama hakupi amani achana nae katafute wa moyo wako. Nadhani kuna wengi wanampenda hila wewe ndo unawashikia shuka jekundu. Muache na yeye atafute yule Mungu amempangia.
Ww mwanamke una Sura mbaya sana, huna tofauti na waliomkata Jamal Khashoggy Kichwa chake..

Una roho mbaya sana, wapi alipo sema kuwa mme wake hampi aman ya moyo wake?

Mjitu mingine kweli migumbaru... Yani ww ni wa kudakwa na ku'Ambarutty'wa tu, yaani unamshauri mwenzako avunje ndoa?

Sorry dear
 
sasa ww ulichobug toka mwanzon ulikua una sita sita huamni km unampenda..ukajipa moyo uishi naye..
mm niliwah kuwa na mbaba m1 jaman alinipendaaa uwii mm hapo simpendi.. alikua anakula vby huyo anajilamba mavidole.. anabeua beua tu kwenye mlo..nikasema nafanyanye! alipoleta habari za kunioa nikamwambia sipo tayar bado.. aliumia lakini nilijiponya na nafsi yangu.. alikua anavalia mkanda wa surual kifuani inahu?ila alikua njema balaa.. imagine unamwacha mtu anaekusaidia kwa kila kituuu nilikua nakula had ada yy anafix.. nikamfyekelea mbali..ila maajabu ali igharamia sendoff yote😊😊 abarikiwe huko alipo😊😊!pole mwaya pambana...
Kuna funzo kubwa hapa.Hatari sana hii.
 
Mmmh.Wengi pesa kwanza.Wewe ni tofauti?

sio kweli kbs rafiki.. hv unataka kuniambia mm nilimpenda mume kisa ana hela?ana hela gan katoka chuo ana kitanda ki1 tu..hakuna ni mapenzi ya kweli tu.. sio wanawake wote wanapenda mwenye pesa ..pesa matokeo tu.. ingawa pesa ni catalyst nzuri kwa mahaba😊😊😍😍
 
Kinachokukuta ndio kinawakuta zaidi ya 90% ya waliopo kwenye Ndoa.

Wanawake wengi ni 'fakers', wanauwezo wa kuigiza miaka nenda rudi ali mradi tu Jamaa mifukoni kunaeleweka.
Kweli mkuu ,,Mapenzi ya pesa sio mapenzi ya kweli,
 
Nafuu mwishoni umekubali pesa ni catalyst nzuri kwa mahaba
sio kweli kbs rafiki.. hv unataka kuniambia mm nilimpenda mume kisa ana hela?ana hela gan katoka chuo ana kitanda ki1 tu..hakuna ni mapenzi ya kweli tu.. sio wanawake wote wanapenda mwenye pesa ..pesa matokeo tu.. ingawa pesa ni catalyst nzuri kwa mahaba[emoji4][emoji4][emoji7][emoji7]
 
Na wap kasema anampa amani ya moyo?u akurupuka sana
Ww mwanamke una Sura mbaya sana, huna tofauti na waliomkata Jamal Khashoggy Kichwa chake..

Una roho mbaya sana, wapi alipo sema kuwa mme wake hampi aman ya moyo wake?

Mjitu mingine kweli migumbaru... Yani ww ni wa kudakwa na ku'Ambarutty'wa tu, yaani unamshauri mwenzako avunje ndoa?

Sorry dear
 
yaani ninatamani pia kujua wanawezaje? haswa unapokua na mtu anaeweza kukuvumilia, kukujali na kuchukuliana na wewe kwa kila hali, lakini wewe hisia zako za mapenzi wala hazishtuki
Sijasoma comments zote, vipi hamna alosema wanawezaje?
 
Nafuu mwishoni umekubali pesa ni catalyst nzuri kwa mahaba

ni kweli.. ila na nyie mkubali sio kila.mwanamke anakubali kuolewa eti kisa mumewe ana pesa..au mie sijaelewa defn ya mtu mwenye pesa.. mbn wnaume weng tu wanaona wakiwa hohe hahe tu?hao mnawaonģeleaje??
mtoa mada kwa jinsi nilivyomuona alimkubali mumewe kwasabb ni mwanaume wa kujali hisia zake...na sie wanawake ndo.kaidhaifu ketu hako.. tunajisikia faraja mtu akikujali...
 
sio kweli kbs rafiki.. hv unataka kuniambia mm nilimpenda mume kisa ana hela?ana hela gan katoka chuo ana kitanda ki1 tu..hakuna ni mapenzi ya kweli tu.. sio wanawake wote wanapenda mwenye pesa ..pesa matokeo tu.. ingawa pesa ni catalyst nzuri kwa mahaba😊😊😍😍
Sawa rafiki.Ila mmh.Huyo unayesema mbaba ambaye hukuwa na hisia naye za makhaba umekula hela,pesa na fedha zake kama zote.Kisha ukamuacha tena bila kosa.Kama pesa haina ushawishi kiivyo,kwanini usingekuwa wampa atakacho bila kumpopoa mahela yote hayo?
 
Wakati wa uhusiano kabla ya ndoa nlikua na sita juu ya hisia zangu za kimapenzi juu yake, hakua na shida yoyote na nlivutiwa na vile he is 'a good package', the least I can say, ni mkaka mzuri sana,mchapakazi, mkarimu na ana upendo wa dhati . Nlipokuwa najitafakari na kuomba ushauri watu wa karibu including dada yangu alinambia , usipoteze chance ya kuwa nae "he is one in millions" na utajifunza kumpenda taratibu. Lakini muda umepita sana bado sijajifunza kumpenda. Siku ya harusi yangu nlijua kabisa ninasita sita, yaani ile furaha ile saaana sikua nayo. Nlijua tu labda ni woga wa tukio kubwa sana maishani lakini hata baada ya hapo hisia zangu hazijabadilika. Ni mume mzuri, ananipenda na kunijali sana, hana shida kabisa na tunatunza familia yetu vizuri kabisa na tunaelewana katika aspects nyingine za maisha vizuri na hatuna ugomvi wala mikwaruzano, lakini shida ni kuwa ile chemistry haipo, yaani sipendi intimacy nae, sitamani aniguse , anibusu wala anishike. sijawahi kucheat ila natamani kujua namna gani nifanye ili niweze kufurahia ndoa yangu

Huwezi kuwa na mikwaruzano naye kwa sababu you have no feelings for him. Ilikubidi uwe single tu na usingempotezea muda huyo mwenzako. Ndoa nyingi ziko hivi, watu wanaoana ila wanawekeana mashaka hatimaye muda si mrefu wanaanza kupigana chenga na kuchepuka kisha kujiletea magonjwa ya zinaa ndani ya nyumba. Ndiyo maana ndoa nyingi za kwetu ziko ICU na machangu wanashangilia kwa kusema hadharani eti Mungu anasikia vilio vyao.
 
Sawa rafiki.Ila mmh.Huyo unayesema mbaba ambaye hukuwa na hisia naye za makhaba umekula hela,pesa na fedha zake kama zote.Kisha ukamuacha tena bila kosa.Kama pesa haina ushawishi kiivyo,kwanini usingekuwa wampa atakacho bila kumpopoa mahela e hayo?

😂😂😂😂 mm nadhan nilifanya jema kumkataa.. alfu sikua namchuna..sikua ht naomba hela..sikua najua ht kuchuna..nilikua mdogo..ningekuwa najua kumchuna nahis nigekua najumba nw ..maana alikua ananieleza hayo namjibu naogopa baba akijua.. masikini alioa ameachana na mkewe.. haya nayasikiaga toka kwa dadangu coz ni majirani😊 anisamehe tu..
 
😀😀nimecheka kama mazuri.Ingekuwa enzi hizi ingesemekana huyo mbaba alikuwa danga lako.Japo ulikuwa mdogo,ila ulimvuruga ulipomuacha,sishangai kusikia ameachana/kutengana na aliyemuoa.Chanzo...?Bado hajapata wakuziba pengo uliloliacha.
 
Back
Top Bottom