Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Tatizo lako haupo tayari kuruhusu hisia zako kwake..jaribu kuruhusu hisia kwanza mdogo mdogo utaanza kumpenda hakuna aliezaliwa na kipaji cha kupenda...tunajifunza
 
Ahahaha kaka najua hii ni kazi ya subconscious mind,ebu mpe zile njia za kutumia kuidanganya subconscious ili ifuate kile inachosikia.

Natumai itamfaa mkuu.
he he he
na wewe unazitaka mbinu za uzinzi asee
 
Kwa hiyo nitafute kidume chochote nikiintroduce kwake? Kwa nini nifike mbali hivyo wakati mambo haya yanazungumzika tu? Hajawahi kunitamkia kwa hiyo mimi sijui hata naanzia wapi kumkataa mtu ambae hajanitaka
Oky kwahivyo ni akili yako tu inakuambia huyu mume anakupenda, na umeeleza vile anakushugulikia kwa kila kitu, kaa huamini anakupenda bona akili yako ikundangaya anakupenda, na habari ya hio kidume huna mpenzi wewe?
 
Aisee utakuwa umenisoma vibaya kuna mahali nimesema ananishughulikia kwa kila kitu? Ninajitegemea ila huwa ananisaidia kuna wakati natingwa na huwa ananijali sana
Oky kwahivyo ni akili yako tu inakuambia huyu mume anakupenda, na umeeleza vile anakushugulikia kwa kila kitu, kaa huamini anakupenda bona akili yako ikundangaya anakupenda, na habari ya hio kidume huna mpenzi wewe?
 
Reference ya hoja yangu ina sapotiwa na point hizi...

1. The law of demand and supply. Huyo mume demand yake ni ndogo alafu ana higher supply.

Hapa anatakiwa apunguze supply ili demand iongezeke na ata fanikiwa hivyo kwa kutomjali huyu mwanamke, yani amtriti rafu kadri awezavyo walau kwa mwezi tu. Aone kama demand yake haijapanda na intimacy/chemistry kurudi.

2. My experience.

Haya na wewe niletee point zako za kusapoti hoja yako ya "si kweli"!
Nmependa hii [emoji122]
 
Huyo mume wako ana makosa sana, mwanamke ukimuonyesha una mpenda ndo umeharibu.

Inatakiwa aku treat like a shit alafu uone hiyo chemistry sijui intimacy kama haitakuja bila kupenda...
Wanawake wengi wanaangalia pesa tu, kuna mmoja nilimuunganishia kwa mzee mkubwa tu ila pesa ipo tokea siku ya kwanza aliniambia hampendi babu,lkn sbu ya pesa akafunga ndoa wana watoto wazuri tu,,ila Kila week anatoroka ananiletea Mimi nimle anasema hana hamu na babu
 
Huyo mume wako ana makosa sana, mwanamke ukimuonyesha una mpenda ndo umeharibu.

Inatakiwa aku treat like a shit alafu uone hiyo chemistry sijui intimacy kama haitakuja bila kupenda...
Kweli mkuu wanawake wa ajabu sana...kuna boya mmoja alitaka kuniendesha sana, siku nilipojifunza ukauzu ndo ukawa mwanzo wa maisha mapya!!
Jitu nalipenda, nipo nalo kwenye mahusiano nataka niliod..alafu linaniambia halijawahi kunipenda kihivyo..kumbafu sana [emoji849][emoji849]
 
Wanawake wengi wanaangalia pesa tu, kuna mmoja nilimuunganishia kwa mzee mkubwa tu ila pesa ipo tokea siku ya kwanza aliniambia hampendi babu,lkn sbu ya pesa akafunga ndoa wana watoto wazuri tu,,ila Kila week anatoroka ananiletea Mimi nimle anasema hana hamu na babu
alafu sijui kwann huwa mnapenda kugeneralize kuwa kila mwanamke anavutika na pesa.. sio kweli.. kukata hisia kwa mwanaume wako kunachangia vitu vingi jaman.. sio pesa tu
 
My dear ulikosea sana tangu pale ulipoamua kuolewa nae. Mimi pia hali hiyo imeshanikuta...kuna huyu kaka ananipendaga, hajawahi kunitamkia hivi seriously ila matendo yake yanaonyesha waziwazi mwanzo tulikuwa kama kaka na dada tu ila huwa ananisaidia sana, ananijali shida yangu anaibeba kama yake, asione nna shida atafanya juu chini anitatulie japo hana pesa kihivyoo ila ni mchakarikaji na vijisenti vya hapa na pale havimpigi chenga. Anajitahidi kunionyesha mapenzi ila mimi hajawahi kunishtua hata ubongo yani simpendiii yaani akinihug kikawaida hivi labda tuseme tunasalimiana najinasua fasta natamani nimsukumie kule, hapa ndio najua si kweli kwamba mwanamke anaweza akawa na mahusiano na mtu kwajili ya pesa tu..lazima kunakuwa na tumapenzi japo kiduchu hata siku moja pesa haiwezi kununua mepenzi trust me.

Aiseee
 
Lkn hela yake unachukua,wahujumu uchumi mpo wengi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom