Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Napokwambia uwe free namaanisha acha hisia za kawaida za kibinadamu zikuongoze, ikitokea amekuudhi chukia, lia pigana, ongea whatever. Ikitokea amekufurahisha mkumbatie,mpe zawadi, muimbie fanya chochote unachojiskia. I mean ishi kawaida ila usipange muda huu nitafanya hivi au vile au namna gani .sijui kama unanielewa.Kuna sehemu ya kuwa free, ila kwa case ya mleta mada ukiwa free kama unasema jiandae kusaza meno siku za mbeleni.