palsa
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 1,339
- 1,701
Na hii inawakuta wanawake wengi sana waliopo ktk ndoa.
Una bahati..maana hayo ni mateso makubwaMie ilibaki kidooooogo niolewe kabisa, aisee nafsi ilikuwa ikinisuta vibaya mnoo, mwisho ilibidi tu niwe muwazi. Alinichukia kwa muda ila baadae akanielewa.
Sio wote huwa wanaweza kujinasua haswa unapokuta mwanaume anakupenda na kukujali kwelikweli. Huwa najiuliza wale wanaojifunza kupenda wanawezaje?!!!!!