Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Mapwenti kama yoooteee

huyu dada ni mama mchungaji tosha.. mimi namtwikaga fadhaa na mahasira yangu hapo nimepaki na mabegi yangu🤗🤗🤗 ukimshirikisha unarudisha nguo kabatini😂 then unarelax💏 tena unaingia jikon na kupika kabsaa.. raha sana she is blessed
 
Anatisha sana.Halafu ni mchokozii😀
 
Nawaza tu ukishindwa kumpenda kama ambavyo mtoa mada ameshindwa ni unaishi maisha ya kufurahisha watu tu huku wewe nafsi yako inasinyaa tu!!!
Ukiwa kama mtoa mada unaomba afe tu uishi kwa furaha
 
Shida yako uliyempenda hukuwahi hata kukuomba namba.. Pambana na tamaa zako umepata ndoa.watoto.goodlife ila kamwe uwezi kuidanganya nafsi katubu
 
Unadharau sana
 
Kwako mwalim kashasha
Ah hii kiingereza tunaita error back pass au kwakiswahili wanaita kisoda... Angalia huyu mchezaji wa kike amepewa mpira akiwa peke ake akazubaa mara forward anatokea kwakuweweseka anarudisha mpira kwa kipa kama anafunga freekick mwishowe anajifunga... Mwisho nasema ni goal bora la kujifunga ni goli ambalo unaweza bangulia korosho kwako jesse
 
Eeewalaaaa!!!

Mpaka aamue kuolewa nae basi kuna sababu ilomsukuma, basi aifikirie hiyo sababu maana maamuzi yake ya sasa hivi yataathiri watu wengi sana kuliko angeamua pale mwanzo.
Ajifunze kuwa responsible for her decisions.

Mume angekuwa na shida basi maybe angefikiria jambo lingine, so far ana mume mwema tu. Thamani ya kitu huonekana kisipokuwepo, amshikilie sana mumewe na asiwe na mawazo ya kuchepuka maana hadi kuitaja yawezekana ishawahi kuwa wazoni mwake.

Good men are hard to find, ukimpata mshikilie haswaa lasivyo watakusaidia kumshikilia.
 
Good.
Thank you
Thank you
Thank you !!moyo wangu umejiskia kuinuka mno baada ya kusoma ushauri wako. Help me Oh God, to see how blessed I am, teach me to reciprocate my husband's love.
You are truly heaven sent
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Kweli kabisa Mwl. Kashasha
 
Ninachoangalia je huyu mwanamke anaweza kubeba na kunisindikiza katika kutimiza kusudi langu nililoletewa hapa duniani naoa, sina muda huo wa kutafuta kupendwa kama ninavyompenda akiniheshimu tu imetosha.hawa alitolewa kwenye ubavu wa Adam lakini bado hakumpenda kwa dhati akamsaliti mchana peupe na kumkosesha adam na MUNGU sembuse wewe tuliyekutana mbagala. Kuna muda tunawapenda sana kwa sababu ya tabia na mienendo yenu kuwa mizuri ila sio kwamba ni wazuri kuzidi hao wengine. Ukipendwa tulia, hakuna mwanaume mwenye hisia na mwanamke mmoja tu ni vile tunawaheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…