Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Seriously, yeye apambane tu mpaka kieleweke. Asije ishia kuharibu welfare ya mume/watoto wake in the name of kusikiliza hisia zake. Kweli mume angekuwa na matatizo mbona tungeleta ngebe zetu. Azifufue/azae tu hizo hisia humo humo zitakuja tu

Haha unachepuka au unaamua kuachika unaenda kuolewa na ambaye una "hisia" naye then unaanza kulalamika hana "attributes" kama alizokuwa nazo ex hubby (GOD FORBID). Tujue kutofautisha Wants Vs Needs
 
Ukiwa kama mtoa mada unaomba afe tu uishi kwa furaha
Hakuna siku nimewahi kuomba mume wangu afe , natamani aishi apate upendo anaotarajia kutoka kwa mke aliemchagua, ndo maana nimekuja wazi kuomba ushauri. Hastahili kuteseka kwa makosa yangu
 
Kumbe mama caren hukunipendaaaa?Ngoja nirudi job utanieleza vizuri
 
Yaani nione imethibitishwa nirudishe...nitajaribu mkuu ila nimepanga siku nikibarikiwa nitamrudishia hela zake na riba
Khantwe you have got to be serious, back to the topic, wengi wa wachangiaji hawako kwenye ndoa hivyo wana uzoefu duni kuhusu ndoa, wanachangia pasipokuelewa, hisia za mapenzi ni Kama mawimbi ya bahari Zina ups and downs, nikujifunza namna ya kunitumia advantegeously on your part, wengi tunaingia kwenye ndoa tukiwa na expectations kubwa zaidi ya uhalisia, tunapokutana na uhalisia tunakua disappointed na hapo shida huanza. Bahati mbaya wanandoa wa siku hizi sio wavumilivu Wala wasiri, hivyo kuongea lolote au kufanya lolote kuhusu ndoa sio shida
 
Vipi k huwa unampa? ....na huwa unakojoaga?......siku moja kubalianeni mtengane kama mwezi hivi halafu ulete mrejesho
 
Na vile binadamu haturidhiki ndio kabisaaaa, ukipata A unataka B mwisho wa siku wants haziishi doh!!
Afurahie tu kumpata mume mwema na asimfanye akaja akajisikia kuwa alikosea kuoa maana hizi nyimbo zitahamia upande mwingine kabisaaa na itakuwa balaa.
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana,hata mimi niliwahi oa mwanamke mpaka tukapata mtoto,then baadae akadai hakunipenda.
Nikamwambia fuata taratibu za dini ya kiislam,nikampa talaka,sasa yupo tu tangu 2015 masela wanamkojolea tu,hakuna alieoa,
mama yake mzazi mpaka leo anamlaumu kuondoka ndoani.
Kwa hiyo hawa viumbe bora ule na uondoke au tumia ile kanuni.(find,https://jamii.app/JFUserGuide,forget) fff.
 
Hivi umejiuliza na kinyume chake wanaume wanaumia Je wakiwa na wanawake wasiowapenda kisa watoto ?!. Haya mambo ni kote kote. Kikubwa kuvumiliana. Ujana utapita na vurugu zake.

Umesema jamaa anakupenda sasa we unataka nini ?! Hisia ?! What is hisia ?. Ukiendekeza hisia utaanza maasi na bahati mbaya akigundua utaula wa chuya.
 
Dah DUNIA kweli haina usawa watu wanakesha kuomba kupata mme kama wako aisee wanakosa wanapata vivuruge ..nawe Mungu kakupa alie sahihi kwako lakini huna hisia nae ..Mungu ni mwema ipo siku atanipa kama huyo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…