Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Nadhani kuna kitu hujakielewa hapa, mimi na huyu mtu hatuna uhusiano wa kimapenzi yaani tulianza kuzoeana kama kaka na dada (ni homeboy) na hii kwamba ananipenda kivingine nimegundua siku za karibuni tu na siku za nyuma wala hakuwahi kuonyesha hizo dalili nimegundua mwaka jana na tunafahamiana miaka mingi...usidhani nafurahia hii hali ndio maana najitahidi kwa sasa kukaa nae mbali
 
Nawafahamu ambao hawana pesa na wameshibana na wanafurahia ndoa vyema tu. Tatizo ni misingi tu na malezi.
Thats true na mapenzi ambayo pesa haijayatawala kwa sehemu kubwa huwa yanakuwa na amani sana, najiulizaga hivi wale jamaa wanaooana kijijini wengine hawajasoma kabisa mbona wana peace of mind sana na maisha yao yanakwenda poa! Mtu ana mke na watoto wake kadhaa anaenda shamba anarudi mke anaenda sokoni anarudi anapika watoto wanakula vizuri with extreme happiness wazazi wanafarijiana mambo yanaenda poa tu! Hata wakila dagaa mlenda kwao dua tu! Sasa nyie wa mjini mnaoaminika mmesataarabika na wasomi mnakosea wapi?
 
Hio approach nzuri, mteme tu kidizaini ataelewa!
 
Sisi tunapenda pesa zaidi.
 
Pole mamito watu wa hum wazoee tu yaani wao wanajua kila kitu..chochote kinachosemwa kinyume na kile wanachokijua wao ni uongo
 
Nimejikuta nasoma komenti zote na kusikitika tu. Mwanaume mwenzangu popote ulipo, kamwe usiihangaishe akili yako kumjua Mwanamke. Atakavyokuja we mpokee hivyo hivyo tu, ndio maana tunazidi kufa tu
 
sasa naona hata tumapenzi huyu hana kabisa
 


Umeongea ukweli mchungu....... Huu ndio uhalisia wa Mwanamume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…