Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Mimi nifanye nini sasa na njaa inaniuma hahaa ila kiukweli najitahidi sana kukaa mbali nae tatizo huwa tunajikuta tu automaticay tumekutana
Honestly
Mbaya hyo na akija kujua utamfanya awachukie na wenzako ambao wangempenda kuwa nae

Kma vp mpotezee usje muumiza mbelen
 
Ushamzalisha watoto wa tatu,ushachakaza chasis akiondoka hapo anaenda wapi sasa?,ndo maana wanawavumilia sababu hawana namna na ukute ankutegemea wewe kwa kila kitu aende wapi?.
 
Sijawahi kumwambia kuwa nampenda na wala hatupo kwenye mahusiano ataumia na nini? Ningekuwa namuektia sawa yaani hata ye mwenyewe nahisi anajua... Nashindwa kumwambia ukweli kwa sababu hajanitamkia wazi ila siku akifungua mdomo wake nitamwambia na nitamwambia kiasi gani nimestruggle kumpenda ila sijafanikiwa
Honestly
Mbaya hyo na akija kujua utamfanya awachukie na wenzako ambao wangempenda kuwa nae

Kma vp mpotezee usje muumiza mbelen
 
Ushamzalisha watoto wa tatu,ushachakaza chasis akiondoka hapo anaenda wapi sasa?,ndo maana wanawavumilia sababu hawana namna na ukute ankutegemea wewe kwa kila kitu aende wapi?.
Sasa hapa unazungumzia assumption babu.siyo wote walioolewa wametoka kwenye dhiki au hawana vipato. Halafu huyo anaewadanganya mwanamke akizaa anachakaa nani? Vijana nawafundisha sasa utamu wa mwanamke unaanza pale anapoanza kuzaa kama mlikua hamjui.
 
Nimeandika na kufuta mara 4. Wacha nikae kimya tu, ila nyie viumbe nyieee!

Jamaa analala machakani kwa ajili yako na familia, anafanya shughuli ili mridhike na maisha yaliyopo mamamamaaae, halafu unakuja kusemaa.........? Maza Fckuer
 
Unajitaftia balaa aisee shukuru umempata anayekupenda na ni responsible father hayo mengine potezea. Seems ulimpendea hela sasa ulicho kitamani umeona upuuzi. Ndo mana mimi first principle yangu ni love then mengine.
 
Kuna mambo mengi sana mwanamke aliongea na shetani pindi kwa mara ya kwanza anadanganywa...!!... amebaki nayo moyoni ndio maana unakuta kuna hali kama hizo...[emoji58][emoji53] ktk ndoa..!!..unatongozwa unakubali,unachimbiwa unakubali,unagharamiwa kama mchumba wa mtu unakubali,unaolewa inakubali na unaja zaa bado inakubali.... mwisho wa siku unafunguka kwamba huna hisia na mumeo..??... akili za wanawake shetani ndio anazijua zaidi..[emoji852][emoji852][emoji852].....
 
Ook, ila nime muonea sana huruma mdau maana naamin kuna vitu anaamin kwenye kichwa chake kumbe n tofauti
Ndo maana unaona anaonyesha dalili bila kusema

N ww itabid uanze kumuandaa kisaikolojia picha picha na shemeji azione ili ajue kabsa anachowaza sicho
 
Inawezekana yapo mkuu ila wanasema hakuna binadamu asiye na bei hahaa mimi naamini yapo japo kidogo bwana


Kuna mdada nlihisi anajifosi kuwa na mm, alkuwa anani-text vizuri tu huku ananilegezea sauti, cha kushangaza hakunipenda lakini alinibembeleza nimuoe, nadhani ni kwasababu alisikia rumors kuwa nina pesa, yani hata nlikuwa nkijaribu kum-kiss, demu anakwepesha mdomo, kila saa nkimwambia njoo geto anadai yuko busy, kila siku ananipiga mizinga (kuniomba hela), papuchi eti atanipa nikimuoa, my 6th sense told me huyu mdada anafeki kunipenda..nlimchana live nikamwambia akatafte mwanaume anaempenda, kufeki sio dili..mapenzi ya kuigiziwa mm siyawezi Khantwe
 
Sasa hapa unazungumzia assumption babu.siyo wote walioolewa wametoka kwenye dhiki au hawana vipato. Halafu huyo anaewadanganya mwanamke akizaa anachakaa nani? Vijana nawafundisha sasa utamu wa mwanamke unaanza pale anapoanza kuzaa kama mlikua hamjui.
Hao wasiozeeka na wasio kuwa na dhiki na wanaojielewa hawakubaligi kuburuzwaburuzwa ama kuwa kwenye ndoa wasizozifurahia au kuwa na mume asiyemwaminifu na alieshindwa kujirekebisha.Wanawake dizaini hii wako radhi kuishi kivyao na kuwa single mothers kuliko kukumbatia ndoa isiyokuwa na furaha wala afya bora.Hao wanaokubali kuvumilia ujinga eidha hawana pakwenda,hawajielewi ama wanasumbuliwa na stockholm syndrome.
 
Pole aisee, ila una roho ngumu mimi sijali maneno ya watu kuhusu ndoa, ni bora usiolewe kuliko hizi habari
Thats my girl, great advice, be yourself, know what you want, whom you want to be with, and so on,every humanbeing is unique in a way, so in issues abaut marriage and such, i make decisions based on my wisdom and understanding based on my values and principles period
 
Tatizo namheshimu sana pengine ye anajua ndio mapenzi daah I wish ajue
 
Sorry we ni mwanamke au mwanaume
 
Nimeandika na kufuta mara 4. Wacha nikae kimya tu, ila nyie viumbe nyieee!

Jamaa analala machakani kwa ajili yako na familia, anafanya shughuli ili mridhike na maisha yaliyopo mamamamaaae, halafu unakuja kusemaa.........? Maza Fckuer
Mkuu wewe ndo mume wa mleta uzi nini?.Mboni hasira,angekuwa karibu usingemlabua makofi kweli?
 
Seriously, huwa anapiga picha na wadada wazuri wazuri anaokutana nao kwenye kazi zake sijawahi hata kushtuka, halafu kazi yake inamweka busy hatari inaweza kupita miezi hatujawasiliana sijawahi hata kummisi
Hiyo picha unapiga wakati bado anakujali na unaona he is here to stay na hawezi ondoka.

Trust me, siku akiondoka alafu "ukipiga tena hiyo picha" ndo utanielewa ninachoandika.

Cha msingi hakikisha unatunza kumbu kumbu ya niliandika hapa maana kuna siku itakutokea.
 
Haha sasa anakwepa ungemuoa huko ndani ingekuwaje sasa mambo mengine bwana
 
WEWE SEMA NI HIO PARKAGE YAKE ULIPENDA YAANI HELA YAKE, unaweza aje oa mtu ambao hata hujisikia kufanya tendo nae, hutaki hata akuguse, sasa utaishi na mtu maishani yako milele ambae hata HUMUPENDI, ni hela yake unapenda, wadada mko na taabu sana
 
Wacha niendelee kuwa msomaji tu. Ambao hatujaoa mnatupa mtihani mzito kweli kweli mliopo ndoani
 
Anyway labda nieleze kwamba umeandika kwamba kosa ni kuonesha kumpenda mwanamke. Sasa nakuuliza Je ikitokea ukaishi na mwanamke utawezaje kukaa nae bila kuonesha unampenda?
Kila kitu unachofanya kwa ajili yako usifanye too much.

Kama amezoea ukija unamletea zawadi basi punguza. Sio kila saa akitumia text unajibu mda huo sometimes chelewa hata dakika kumi...

Sio kila saa unakua good kwake sometimes unamkoromea.

Yani unatengeneza mazingira aone kwamba hauko deep kwake japo kiuhalisia unampenda.

Hata wewe nakushauri usilogwe uwe na mwanamke alafu agundue unampenda, you will suffer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…