Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sawaHivi mwanamke unakua mjeuli unamjibu mumeo utakavyo.
Mwanaume ametoka kwenye mishe mishe kurudi nyumbani ni war zone nasio comfort zone
Utabeba mzigo ambao haubebeki mama?Wanaume kutopenda majukumu ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa single mother
Jifariji tuKuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi,unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe.Ukitoka job unafuata watoto shule.Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni,dinner then kusali .Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
[emoji848] hapa kazi ipo...Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi,unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe.Ukitoka job unafuata watoto shule.Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni,dinner then kusali .Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
Umetendwa!! Pole ni watani haoHivi mwanamke unakua mjeuli unamjibu mumeo utakavyo.
Mwanaume ametoka kwenye mishe mishe kurudi nyumbani ni war zone nasio comfort zone
Hapo sikuungi mkono kwa vyovyote.Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi,unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe.Ukitoka job unafuata watoto shule.Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni,dinner then kusali .Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
Natutaendelea kuwajibu tutakavyo na kuwa wajeuri wanaume wenyewe vilaza hamueleweki.[emoji23][emoji23]
Ebu tofautisha kati ya wavulana na mwanaume.Wanaume wenyewe sikuhiz wapo basi,
Wanapenda mtelezo mpaka wanao lewa na wenzao, wengine wanapenda kulelewa na sugar mamy
Basi tabu tupu.
Yaani acha tu hakuna watu wenye hali ngumu kiakili kama single father tena awe na mtoto/watoto wa kikeHivi Single fathers nao wapo? Hili suala liangaliwe kwenye katiba mpya kwa maslahi mapana yataifa