Mwanamke unawezaje kumjibu jeuri mume wako?

Mwanamke unawezaje kumjibu jeuri mume wako?

Wanaume kutopenda majukumu ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa single mothers
Kuna kifo cha mzazi wa kiume
Kuna uhuni wa mwanaume, ile kila sehemu mwanaume anapita na mwanamke anayemuona

Sababu ni nyingi
Hujajibu swali.
 
Wenye shule zao, kuwa single mother ni kawaida, maana wengi wao uangalia mapicha picha ya Western world kwamba hayo ndo Maisha lakini hawaangalii mapicha picha ya Eastern world kwamba hayo ndo maisha halisi. Eastern world China, India, Pakistan, Japan, Korea divorce ni kidogo sana, pia shule uku kwetu mabonde kwinama ilikuja juzi juzi tu ndo maana mtu akiwa na degree uchwara mabega yanafika mawinguni wanawake kwa wanaume. Pia single mother wenye kipato kidogo ni Shida sana, wenye kipato kikubwa uchagua wanaume pia malezi ya watoto uzalisha mashoga, wavuta bangi , na single mother wengine.
Inferiority complex inakusumbua baki na ujinga wako ka unaona kutesa wanawake na kuvumilia ujinga wenu ndio uanauke wewe ni total failure.
 
Tupo mkuu. Nasi tunapambana na hali yetu. Mambo haya magumu sana yaani .Ni kuomba mwongozo wa Mungu na kuwekeza sana huko. Yote kwa yote Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545]
Single father kwanini huwa mna stress na hasira hivo mda wote kukumbuka waliowaumiza nikisikia hivo hufurahi sana kah
 
Unajikomoa mwenyewe, mwanamke ni kama Yai au kioo ukijifanya mjuaji utaumia
My life my choice yani kuishi nitakavyo nikujikomoa are you.serious?
Nyie mnaoishi kufuraisha watu mna matatizo sana
 
Wewe yote maisha. Kwani kuwa single mama ,Watoto ndo hawamwoni baba yao ?Wangu Wanamwona Baba yao. Tena.wakati wa likizo wanakwenda kwa Baba yao. Na Week-ends mbili kwa mwezi wako kwa Baba yao.
Tatizo mnajiconsole bure tu. Nakumbuka mtoto wangu alishamweleza shangazi yake, nanukuu "nampenda sana baba yangu ila ananikwaza kwa kutoishi nyumba moja na mama yangu..." mwisho wa kunukuu. Tunawakwaza watoto wetu! hiyo ya kutembeleana haitoshi watoto wanafurahi wakibisha hodi kwa chumba cha baba na mama. Hata ndani kama wananuniana na kunyimana K. Huo ndiyo ukweli
 
Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi, unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe. Ukitoka job unafuata watoto shule. Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni, dinner then kusali. Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.

Ukitoka hapo unachukua zako dildo huna habari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1480][emoji1480][emoji1480][emoji1480]
 
Acha acha acha acha kabisa uongo ww sema tu hujapata mwanaume lkn usipotoshe umma
 
Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi, unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe. Ukitoka job unafuata watoto shule. Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni, dinner then kusali. Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
Jamani kuna raha yake kuwa na mtu anaekujali kukuliza hayo maswali(umekula?, Uko wapi?, mbona umechelewa? NK).
 
Ukitoka hapo unachukua zako dildo huna habari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1480][emoji1480][emoji1480][emoji1480]
Sina dildo wala nini.Wa kunikuna ninae sema kila mtu yupo kwake.
 
Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi, unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe. Ukitoka job unafuata watoto shule. Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni, dinner then kusali. Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
Umerithi,na wewe utarithisha kwa watoto, hasa wa kike. Watataka kufurahia unachohisi ni Raha..
 
Hivi mwanamke unakuwa mjeuri unamjibu mumeo utakavyo.

Mwanaume ametoka kwenye mishe mishe kurudi nyumbani ni war zone na sio comfort zone.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] war zone
 
Hivi mwanamke unakuwa mjeuri unamjibu mumeo utakavyo.

Mwanaume ametoka kwenye mishe mishe kurudi nyumbani ni war zone na sio comfort zone.
Kama maandiko yalivyo tuelekeza mkuu wangu... Ishini nao kwa akili maana hawa ni viumbe zaifu!!!! Ukiishi na mwanamke kwa akili amini huwezi kufeli, iyo zarau unayosema nakuelewa mkuu ila tafuta sababu kwann anakuzarau ukiijua sababu rekebisha then muendelee na maisha ya furaha
 
Back
Top Bottom