Mgogo Vitani
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 492
- 867
Maisha ya nyuma ya keyboard hayo tu mkuu ila deep down hakuna mwanamke anaeweza kuwa proud ya usingo maza na hana shida na mwanaume.Huko ni kujifariji tuu ila ukweli hakuna mwanamke anayependa kuwa single.