Ila watoto wanaolelewa na single mother wa kike nawo huwa single mother.
Watoto hufuata mfano wa wazazi wao. Hata mabinti ambao mama zao walikuwa ni wajane hujikuta wanatamani kuishi kama mama zao bila mume sababu ikiwa kwanza hawakuwahi ishi na baba yao sababu alifariki mapema sana so wamekua wakimuona mama ana play role za ubaba na umama as a single female parent.
Pili hawa mabinti wa wamama wajane huwa wanaona shida kuishi mbali na mama zao sababu ya huruma kumuacha mama ambaye amewalea pekee yao tokea utoto na wamuache ndio wanaona uzito kuanzisha familia ila hata hivyo watoto wa mama wajane huwa wanaelewa kuwa baba hakumkimbia mama au waliachana bali kifo kiliwatenganisha so mama akikaa na binti yake vema anaweza muelekeza mazuri ya ndoa na kumuandaa aingie kwenye ndoa na kujenga mji wake.
MUNGU huwa anabariki uzao wa ndoa , so hata mwanamke mume wake anapofariki bado ulinzi wa ki' MUNGU katika maisha ya watoto unakuwapo. Na ndio maana unaweza kuta kuna wajane wamesomesha watoto wenyewe tokea wakiwa wadogo baada ya wanaume wao kufariki ndoa ikiwa changa kabisa na yenye upendo. Hawa ni wajane na MUNGU huwalinda wajane dhidi ya madhira ya yule muovu na changamoto zake.
Ila swala linapokuja katika case ya hawa single mothers wanaoamua kupata watoto na kuishi binafsi bila mwanaume ni issue ya choice zao wenyewe na ndio maana huwa mwisho wao huwa ni maumivu na sio mzuri.
Hawa si wajane ingawa huwa wanajinasibu kuwa wao na wajane ni sawa sawa ila si kweli. Most of modern women wenye watoto nje ya ndoa ni matokeo ya mienendo yao ya usichana. Ukimuona mtu mlalamishi sana na analaumu sana jua ana hatia kubwa na huo ulalamishi ni sehemu ya kuonyesha ana hatia ila anaficha kwa kelele za lawama.
Sio mpango wa MUNGU mwanamke azae na kulea watoto wake kama anafuga kuku wa broiler. Watoto ni mali ya jamii so huwezi kuieletea jamii viumbe ambavyo umevilea kwa akili zako wewe tu binafsi bila misingi.
Na jambo la mwisho ni kwamba, mabinti naomba niwakumbushe tu kuwa baya lolote au uzembe wowote unaofanya leo katika maisha yako, mfano ,kudanga,kulala na multiple partners,kuliwa tigo, kunywa pombe na kuvuta bange,jeuri,kiburi,dharau, upuuzaji, tamaa ,haya yote ndani ya akili yako wakati ukiyafanya jua unajua na usiseme shetani alikutuma au ulishawishika ni WEWE umechagua tabia,mwenendo na matendo yako.
Unapofikia muda wa kulipa hesabu ya hayo matendo usione unaonewa au kulengwa,hayo ni matokeo yako wewe mwenyewe. Sisi kazi yetu ni kukutumia wewe kama mfano so ukinuna unune sababu ya kukosa kwako hekima ukidhani unashambuliwa kumbe si jambo personal.
Accountability (kuwajibika) ni jambo muhimu sana ila nasikitika wanawake huwa hamliwezi na inaishia kuwagharimu maisha yenu yote.
Kuna msemo niliutunga na nitausema hapa tena kuwa, Wanawake /mabinti , inapokuja swala la mahusiano na kuandaa familia yako Bora, MUNGU amawapa peni ya wino na karatasi chache sana kuandika story za maisha yenu so muwe makini sana mnavyotumia hivyo vitu. Sababu ukikosea kufutafuta na kuka kata huleta uchafu wa kazi yako na haita eleweka, pia inapunguza karatasi za kuandika.
Wanaume tumepewa penseli vifutio na vichongeo pamoja na booklet za makaratasi ya kuandika. Tunaweza andika bila kifuta tukikosea tukaanza upya karatasi ni nyingi sana,au tukaamua kufuta na hata penseli ikilika tunachonga upya na kuanza tena au kuendelea.
Sio upendeleo bali ni KANUNI YA MAISHA hatukujipangia iwe hivyo.